Habarini members ,poleni na swaumu na qaresma , allah awafanikishe kipind hiki kitakatifu.
Back to topic , baada ya kufanya utafiti nimegundua biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe inaeza nipunguzia maumivu ya Tozo , ila bahati mbaya sina uzoefu na hii biashara hivyo nlihitaji msaada wenu hasa kweny kujua mahitaji muhimu ili niweze kufungua bucha la nyama ya ng'ombe , kama utaona uwanda huu wa pamoja haukupi uhuru bas katibu pm unipe elimu zaid .
Location : Arusha
Bucha : Nyama , Samaki na Kuku
Kuanza : mapema baada ya ramadhan...
Mbarikiwe sana na Ahsanteni.