Bubu Ataka Kufanya Balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bubu Ataka Kufanya Balaa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Sep 16, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  mke wa kipofu anatembea na kiziw kwa siri lakin anaejua ni bubu, je bubu atafanyaje ili amwambie kipofu kuwa mke wake anamsaliti? .ukiwez kunipa njia atakayoitumia
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa Buji , ili nikujibu hili natakiwa nikujibu nichanganye na bodylanguage ! Nitazifikishaje hizo ishara ulipo? Kumbuka pia kuna maswali baadhi , majibuye hua ni maswali pia .
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Then kwa haraka hua hakuna tofauti ya Bubu na Kiziwi .
  Always tatizo la Bubu ndiyo tatizo la kiziwi .
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Huu mtihani mgumu kuliko moko
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  Anaandika kwenye karatasi, mtu mwingine akamsomee mbele ya bubu
   
Loading...