BSS mnaharibu kuwachagulia nyimbo washiriki na kuwapangia waimbeje

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,296
3,967
Nimeona washiriki walioimba wimbo wa Kidumu wameimba kwa kutofautiana kwa maelekezo ya mwalimu.
Halafu baadae mnawahukumu kwa performance!

Kwa ujumla leo washiriki wanafanya hovyo hovyo tu. Sioni hata mtu bora mashindano haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom