Kozi iko vizuri tuu,sema changamoto ni Kujiajiri/kuajiriwa.Lakini kama umepata nenda ukasome tuu,halafu kozi hii ni rahisi sana maana vitu vyao vingi hawakutanishi na kozi/idara zingine.Niliwahi kuitwa Kuwa T.A pale Forestry Engineering,lakini sikuweza kufika due to unavoidable reason.All the best