Ze_Papirii JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 590 Reaction score 1,180 Dec 6, 2018 #1 Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri?????
Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri?????
remedy50 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 675 Reaction score 289 Dec 6, 2018 #2 Ze_Papirii said: Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri????? Click to expand... Jina lake tu tayari lishakupa jibu zuri tu. Sasa wewe unataka nini hapo?
Ze_Papirii said: Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri????? Click to expand... Jina lake tu tayari lishakupa jibu zuri tu. Sasa wewe unataka nini hapo?
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,747 Dec 6, 2018 #3 Ze_Papirii said: Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri????? Click to expand... Kujiajir ni kipaji sio kusomea mkuu, hasa kwenye hili swala la kilimo
Ze_Papirii said: Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri????? Click to expand... Kujiajir ni kipaji sio kusomea mkuu, hasa kwenye hili swala la kilimo
Ze_Papirii JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 590 Reaction score 1,180 Dec 6, 2018 Thread starter #4 remedy50 said: Jina lake tu tayari lishakupa jibu zuri tu. Sasa wewe unataka nini hapo? Click to expand... Kivipi nifafanulie Basi me mgeni hzo mambo
remedy50 said: Jina lake tu tayari lishakupa jibu zuri tu. Sasa wewe unataka nini hapo? Click to expand... Kivipi nifafanulie Basi me mgeni hzo mambo
Ntalukwilasa JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 991 Reaction score 1,284 Dec 7, 2018 #5 Kajiriwa au kujiajiri vyote vinawezekana cha msingi kasome halafu mengine yatafuata
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,728 Reaction score 18,242 Dec 7, 2018 #6 Write your reply...bvm! duuh