Halafu hii ndio inaenda kubeba X6 yakoHebu soma ujumbe huo nyuma ya hilo "my dream car"
Ukiwa nalo bongo hulali njaa.
haha hapo ilipo my dear ishagusa ardhi ukiingia nayo mitaa ya sinza unanasa hapo hapo inapoishia lami haivuki tutamweeehhhhh
hiiiii inaruhusiwa kweli bara barano hahahah lol sante..
looks nice ...🙂
yeah napenda Jeep "Cherokee"
lakini dahhh usifukuzwe tu kazi...
maana ukiacha kazi bora uliuze tu turudi
kwenye "Nissan Prado"....
i like this , simple , cheap Goooooood looooking too lol...
lakutokea tu .. (hata likiporomoka nyumbani easy to get parts )lol
toyota Celica T sport..
Nadhani alimaanisha Nissan Patrol au Landcruiser Prado.....Naamini umeteleza tu hapo..kwani hakuna gari lenye jina hilo!!
Otherwise nice thread and photos.