Bruno metsu afariki dunia

Bruno metsu afariki dunia

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,460
Yule kocha wa zamani wa kikosi cha senegal aliyekipeleka fainali ya mataifa afrika 2002 na robo fainali ya kombe la dunia bruno metsu amefariki dunia leo kwa maradhi ya kansa ya tumbo.. Source magazeti ya leo ufaransa
 
Amefariki kwa Kansa

R.I.P Bruno Metsu
 
dah......... rest in peace !!kocha ambaye aliandika historia ya Afrika kuingia quarter final kupitia kikosi cha senegal-2002
 
The white Wizzard of Teranga

xin_1907040915130241039923.jpg
 
Rest in Peace Metsu,Mbele yako nyuma yetu.
 
tangulia kaka, nasi twaja huko, Senegal and Africa will always remember you
 
Dah! Very sad indeed. Baada ya Senegal alikwenda kufundisha Timu fulani huko Uarabuni, au kumbukumbu zangu sio sahihi?

RIP Bruno!
 
R.I.P Bruno Metsu(Abdullah Metsu)

Ndicho ninachowapendea wazungu (ambacho waswahili- especially wa mlengo fulani - tumeamua kushindwa kukielewa). Ukitaka kufanikiwa kukifanya unachokitaka mahali ambapo hapana culture yako jifanye wewe ni mmoja wao. Kujiita Abdullah (just as MJ or Classious Clay did) was a gimmick! Lakini kuna watu hapa na pengine popote watasema kingine!

Wonga anyone?
 
Jamaaani!daaah!kama namuona vile siku ile Senegal ilipoipiga France!maskini!kweli duniani sio kwetu.rest in peace Metsu.
 
Back
Top Bottom