Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 280
Mmoja anaitwa Bruno Mars, moja kati ya wataalamu wa muziki wa R&B na Pop. Ana uwezo mkubwa wa kuimba na kuandika mashairi na ngoma zilizoshiba kama The Lazy Song, Marry You, Just the Way You Are, 24 Magic, Finesse, Grenade,Versace on the Floor, Talking to the Moon.
Ukiachana na Bruno Mars, kuna jamaa kutoka Canada anaitwa The Weeknd, wanasema ana sauti kama ya Mfalme wa Pop, Michael Jackson. Ngoma zake kama Call Out My Name, I Feel It Coming, The Hills, Pray for Me, False Alarm, Can't Feel My Face, Reminder, Secrets, Earned It, Starboy na nyingine nyingi tu.
Hivi unafikiri kati ya Bruno Mars na The Weeknd ni yupi zaidi katika R&B?