Bruno Mars Umenilet Down!!

Bruno Mars Umenilet Down!!

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
801
Reaction score
362
Am a big fan of Bruno mars na songs zake za ukweli from his first album- Doo-wops and Holigans hadi It will rain lakini album yake ya sasa which goese by the title Unorthodox jukebox truly haijakaa pouwa kabisa...:angry:,Any other dissappointed fans out thea?
 
mbona jimbo lake la' locked out heaven' linabamba sana , wiki hii ni namba moja karibia chati zote za muziki za marekani!
 
Locked out of heaven unafanya vizuri kwenye US top 40 single...ulifika hadi #2 . Kuna when i was ur man uko poa nao! Bt generally doo-wops n holligans iko poa zaidi!
 
Back
Top Bottom