Brother uliyeoa nisikilize

Kaka au wewe kama ni dada, hawa viumbe hawana dawa hata ikiwafanyia hayo yote bado wanataka zaidi. Dawa ni kuwapelekea moto wa kutosha na kuwacheat ili hata yeye akikucheat at least utajikumbusha hata wewe ni mtu wa kucheat na kukubaliana na hali na ndoa inasonga mbele. Hawa hawana formula moja.
 
Akikuona kenge hapo unatakiwa ufanye jambo la kuirejesha heshima yako chap sana.
 
Asee, kama umefanikiwa kwenye hilo Sawa, ila nikwambie tu, siyo kwa wanawake wa kizazi hiki, kama vipi jaribu kwa Makabila ya Kanda ya ziwa.
 
Madhara ya kuangalia sana movie haya.
 
Wanawake hawa wa kibongo?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Ndoa ama kuoa ni miaka 10 tu inayobaki ni majukumu na ukaksi. Wewe utakua hujakaa kwenye ndoa yenyewe kabisa iliyopinda na kunyooka. Hollywoods na mapenzi ya televisa na telemundo usiyalete kwenye ndoa za Kibongo utawashauri vijana kuvunja ndoa badala ya kuishi, kuvumilia na hatimaye kudumu kwenye ndoa aka happy ending
 
sawa

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Huwajui wanawake vizuri wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…