Brother Mo Dewji, seriously??

Lakini kama Mo ni Mtanzania basi inawezekana hao maExecutives wake ni Watanzania pia. Ni kama tu ambavyo wewe rafiki zao unaokunywa nao bar ni weusi wenzako watupu.
 

Ebana eeeh....yaani umelikopi kama lilivyo bila hata kuliwekea aya?

Haya bana😀😀😀😀
 
Mimi mweusi ila Sipendi kufanya kazi na watu weusi labda awe amesoma Marekani, watu weusi wana matatizo Ndio maana kitu kibaya kinawakilishwa na weusi
 
Angeajiri watanganyika asingefikia billion.
 
watanganyika ni wezi sana bora awachinjie baharini
Watanzania hawa ni watu wa ajabu sana! Kama kiongozi mkubwa anatamani watu wake waishi kama mashetani unategemea nini? Ukitaka MO Dewji aishi kama shetani awakaribishe wabongo kwenye menjiment yake ya juu. Kitendo cha MANJI kumweka karibu Bashite ndio mwanzo wa haya yanayo mkuta.
 
Acha kuangalia upande mmoja. Ni mara nyingi tu nimeona vikao vya harusi vya kabila moja tu. Tena mara nyingi, wanafikia wanaongea kilugha. Kuna saccos na vicoba vya kabila moja tu. Hii utasemaje. Hao wanaweza kuwa race moja lakini makabila tofauti, au unadhani wahindi wote kabila moja?
 
Minimize it pls
 
Mkuu acha bara letu tuna mambo mengi magumu sana tume bemendwa na hawa watu weupe ila hakuna jambo lisilo kuwa na mwisho tuombe mungu labda tutafika licha ni safari ndefu maana ata uzalendo umesha toweka hakuna mkweli wa kiongozi anaye faa kuingwa kwa kusimamia maneno yake!!!
Tumebemendwa mkuu
 
na mi nimeona hicho kitu...labda wa tz hawana vgezo!!
 
Muelezee mtanzania kwa kutumia lugha yake ya taifa
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Hata Idd Amin Dadaa(rip), nae aliwashikisha adabu Hawa jamaa.....
 
Makanjibhai ni wabaguzi sana wakiwa tz wanabagua ukienda kwao wanabagua
 
Reactions: SDG
na mi nimeona hicho kitu...labda wa tz hawana vgezo!!

Kweli hakuna mtanzania mwenye vigezo?

Inawezekana kweli Wahindi wanajibagua sana, tukiacha wale wahindi wa Zamani wazalendo waliokuwa Polisi, jeshini nk. Hibi kweli kwa miaka hii umeshawahi kumuona Muhindi Mwanajeshi, Police, uhamiaji, Fire, Magereza nk. Au kwenye ofisi yoyote ya Seriakli au Wizara yoyote?
 
sasa kosa liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…