Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

Hatarihatari ndo maana natumia kiswahili kiingereza sikijui, kuna mtu alinifata pm na kiinglish nikamwambia ngeli siijui zungumza Swahili huwezi potea akatiririka weee nikamjibu kilugha tena bonge ya insha mpaka leo sijamuona
ulijibu Kilugha gani mkuuu?nianze kujifunza πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…