Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,843
758adc0ae4856f0eeaad6e9af5b061ae.jpg
 
sijapata ona mtandao wa kijamii wenye watu wanao andika caption zenye makosa ya kiuandishi kama facebook.

na wanao ongoza ni wanawake.
 
Mshana,kilichoko FB hususani makosa ya kiuandishi kinareflect hali ya elimu ya vijana wengi.Makosa ni mengi mno kiasi kuwa mtu unaweza kujiuliza ,hivi hawa wamepita shule kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom