Broken Heart

karib bana. halaf tahazari sana, hapa JF wanaweza wakaubreak zaidi huo heart wako, kuna wazembe waongo kuliko lucifer hapa ukumbini.

nashukuru kwa angalizo
 
Kwanza pole na uchovu maana wataka pumzika.Pili Karibu sana.HAbari za huko utokeapo,hawajambo?

nashukuru sana.huko nilikotoka wazima japo walicheza na moyo wangu
 
you are welcome BH....broken heart NO more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…