You know what Soulmate?................I always ask myself what would I do, how would I cope without your wisdom.
I count myself blessed to be closer to you!
Kama si wewe JF, ningekuwa doomed mie
Mtoa mada kusema kweli it is not easy. Kama alivyosema Mbu inakubidi kujipanga haswaa! Mimi ilinichukua muda mpaka kufikie uamuzi wa LIFE HAS TO GO ON WITHOUT HIM. Thanx to JF members who have been very supportive on this! I just feel strong to myself kuwa siku hizi ninawezakuta missed call zake na nisibother kumcall back! kuwa anawezakuja kwangu getini na kumwona mwanae without me kuchungulia kwenye dirisha ah! ninajisifu nimepiga hatua kubwa sana aisee! hadi mwenyewe anashangaa!!
...lol...kaka hebu nawe ongezea bana..
haya mambo kila mtu na experiences zake,...yakikukuta utajiona ushapoteza thamani ya vitu vyote duniani,
lakini ukijikubalisha na ukweli, kisha ukashukuru mw'mungu na maisha yakaendelea...aaa, hakuna liwazo kama hilo.
Hapa mbu baada ya misukosuko yote ya nyuma, roho yangu nyeupeeee...nishamsamehe na kumsamehe 'mwalimu' wangu wa mapenzi, tena namuombea heri hasa huko aliko...maana kiukweli nitaumia nikisikia anateseka!
I didn't deserve her, nor was she to me!....kila nikiuangalia mwaka 2011 na kumbukumbu zake, wallahi Mw'Mungu ni mwema. Kama ushawahi sikia msemo "baada ya dhiki faraja,!" ndio hali niliyopitia mimi.... JF kuna 'Guardian Angels' humu, ...God bless you all!!!
....Mhhhhh! MJ1 🙂🙂.....BAK loves this 🙂🙂
....Mhhhhh! MJ1 🙂🙂.....BAK loves this 🙂🙂
Hahahahahaha hii sasa kesi mwenzangu!! ehhahahaha!
...kule kwenye facebook kuna feature; 'so and so' have mentioned you in his/her post...
hebu nambie BAK kama jf naweza ku enable option hiyo...maana mwj1 hata akipotea mwezi, siku akinitaja
tu nawewe unaibuka...hahahahahaha!...
ngoja niende imarati sasa, sijui leo tutafungwa ngapi yarabi...
hahahaha!
...kule kwenye facebook kuna feature; 'so and so' have mentioned you in his/her post...
hebu nambie BAK kama jf naweza ku enable option hiyo...maana mwj1 hata akipotea mwezi, siku akinitaja
tu nawewe unaibuka...hahahahahaha!...
ngoja niende imarati sasa, sijui leo tutafungwa ngapi yarabi...
Advice: GET OVER IT. . . LIFE GOES ON!!
Kabisa Lizzy mamii, yaani ajaribu awezavyo kumsahau na kumove on. Even if itabidi adevelop new hobbies. Mie niliamua kuusoma mchezo wa Wrestling! Hadi nimekuwa addicted aisee and I thank HIM for that coz I get more satisfaction in wrestling more than I used to get when I was with him aisee.
Pole mbu!
mbu asante kwa ilii..
....hey,
Grieving period ni muhimu, lakini usi exaggerate mpaka ukasahau kula, kulala, kwenda kazini
kuendelea kuvaa vizuri na kujipenda kisa umeachwa! ...KUMBUKA blessings nyingine ulizojaaliwa...
....kumbuka, sio dhambi wala aibu hivyo unavyojisikia, dhambi na aibu ni jinsi utavyo react negatively!
chunga mdomo wako na unachosema kuhusu mwenzako,....kuachana sio uadui, lakini using'ang'anie urafiki naye!
Wenzako tulishapitia huko, na maisha yanaendelea...
Some people come into our lives and quickly go. Some stay for awhile and leave footprints on our hearts. And we are never, ever the same.
...acha/punguza mawasiliano na ex, otherwise you'll never move on! ...acha kurudisha fikra na kumbukumbu, au mazoea ya vitu, mambo na sehemu mlizozoea kuwa pamoja...
...acha kujipa mawazo ya labda atakurudia au labda ni kosa lako! it was meant to be like that, kubali matokeo....
...jipe moyo utayavuka majaribu haya. Japo ngumu kusahau mazoea lakini
kuna mengi mazuri yanakusubiria,...kubali matokeo!
jipe moyo!
Some people come into our lives as blessings, others come into our lives as lessons.