Bro kama hii ndio type ya wachungaji ambao mke wako anawaheshimu, kufuata ushauri wao, anapeleka watoto wenu kwake, Kazi unayo !

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,455
  • Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY
  • ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe.
  • yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka
  • Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani aende kanisani.
  • Mchungaji akimshauri kitu, hawezi kusikiliza ushauri wako

u
 
Uzuri ni kwamba hawanaga tabia ya kusomeana kifo kama kule upande wa pili, tofauti na hapo roho ya kifokifo ingekua imeshaanza kukuandama tangu sasa kwa kuhalibia watu ugali.
 
  • Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY
  • ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe.
  • yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka
  • Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani aende kanisani.
  • Mchungaji akimshauri kitu, hawezi kusikiliza ushauri wako

View attachment 3485769u
Yaani hapa hii ndio ibada mashindano ya Bongo Star Search
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom