Bro Hamis nisamehe

Bro Hamis nisamehe

Mbona kama huu ni uandishi wa script ya Bongo movie hii sio matango pori kweli ?
 
Daah aisee me nikikumbuka nilivunja Kioo cha Guest house wakati nasikia kwa reception wakibishana hakuna mtu aliiengia na mwanamke muda huuu... kwani wakati me namuingiza mke wa mtu yule dada wa reception nilimwagiza Serengeti Lite so hakuona me wakati naingia mke wa mtu... ila yote kwa yote mke wa mtu ni Sumu
 
Dogo unafurahia kitonga? Vya bure vina gharama yake
 
Hamis anasema hiyo 20,000 aliyomwambia wife atume haiwezi kwenda bure mzee!!
 
Back
Top Bottom