BRITISH: The masters of hypocrisy

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
832
Wazee hii ni special thread ya kuonyesha huu unafiki wa BRITAIN na wanaudhi zaidi pale wanapoanza kutupa lectures on Good Governance and Democracy

Now are these Britons qualified to lecture us on Democracy?...by the way this is not a one off lakini nitaendelea kuonyesha na sources jinsi gani walivyo wanafiki.

p1-291007_257966a.jpg

Next nitawa expose ma British Consultants wanavyotuibia pesa pale Dar kwa kupitia ofisi zao za DFID mtaa wa Mirambo,Dar

stay tuned....

THIS IS THE OFFICIAL POSITION OF THE BRITISH GOVERNMENT ON ZIMBABWE:

On 20 September 2007 the current British Prime minister said the reason for the British boycott of Zimbabwe was Mugabe's " abuse of his own people."

He stressed that:

"There is no freedom in Zimbabwe; no freedom of association; no freedom of the press," "And there is widespread torture and mass intimidation of the political opposition.

PM-neutral-1-200.jpg

Brown continued by stating that "there are no easy answers to this question but it is the combination of measures that will in the end bring the results which we want, which is the restoration of full democracy."

SOURCE: http://www.number10.gov.uk/output/Page13255.asp

Now in light of King Abdullah's visit to Britain on 30 October 2007, Foreign Office minister Kim Howells called for Britain and the Saudi monarchy to work more closely together on a basis of "shared values".

Source: http://news.independent.co.uk/uk/politics/article3109871.ece

sasa does anyone has any idea on what they might be?

Freedom of religion?
Democracy?
Rule of law?
Freedom of speech?
Moderation?
Good old roistering drunkenness, even?
Equality of the sexes?

Oh, yes, I remember - CORRUPTIONThis is how the CENTER LEFT GUARDIAN REPOSTED THE SAUDI TYRANTS VISIT:

UK_TG.jpgSasa hawa ma Britsh hawataki lectures on DEMOCRACY lakini wako tayari kutoa lectures kwetu! Typical British...always masters katika hii art of FITNA and UNAFIKI

THIS IS HOW LEFT LEANING NEWSPAPER ..THE INDY REPORTED ON THE ISSUE

p1-301007_258047a.jpg
 
Issue siyo media bali najaribu kuonyesha jinsi waingereza walivyokuwa ma FLIP FLOPPERS kila kukicha

sasa next time wakianza kutupa lectures tujue kuwa zipo sehemu za kuwakamatia
 
Issue siyo media bali najaribu kuonyesha jinsi waingereza walivyokuwa ma FLIP FLOPPERS kila kukicha

sasa next time wakianza kutupa lectures tujue kuwa zipo sehemu za kuwakamatia

GT
Binafsi sioni unachotetea. Najua wewe na JK dam dam(una imani naye); lakini mimi naangalia Tanzania yetu. Kuna ubadhirifu wa kutisha wa rasilimali zetu. Yeyote anayeungana na wale wenye uchungu na mali yao nadhani hiyo ni ccmpliment.
 
na wala sijaja kutetea kitu hapa nilikuwa nimeanzisha hii thread kuonyesha jinsi gani waingereza walivyo wanafiki. Je unajua Balalai ana nyumba ngapi London? Je unajua maofisa wangapi wa TRA wananyumba London? Je unajua waingereza walitoa hongo kiasi gani ili deal la Radar lipite?
 
Saudi wanaweza kutumia excuse ya Sheria za nchi inayotawaliwa kwa misingi ya kidini kuelezea nini kile Westerners wanachokiita ukosefu wa demokrasia.Hivi excuse ya Mugabe inaweza kuwa ipi?

IS DEMOCRACY A UNIVERSAL PHENOMENON OR IS IT COUNTRY-SPECIFIC?
 
colleagues,

in 'statecraft' the main objective is to serve the best interest of your country even if you have a faux pax with dictators! most diplomatic pronouncements are meant for 'public consumption'..the real meat lies in secret diplomatic engagements.

it will be naive to expect that the USA, or Britain will project a hostile diplomatic policy in regard to saudi arabia..even in the extreme case where Osama bin Ladin assumes the leadership of saudi arabia. now that is a very extreme case but this kingdom happens to sit on the largest known reserves of oil hence it is super important to underwrite the 'global economy and our way of life'

do you realise that good old tanzania did not mess up with the arrangements around williamson diamond mine with de beers at the time when we were fighting apartheid morally and politically? because it was vital for the stability of our econmy.

more to come....
 
..ndugu zangu waislam haya ndioo mnayoamini au?....

The testimony of a woman is not regarded as fact but as presumption. The reasons women are forbidden to testify in proceedings are (quote):[7] [8]

1. Women are much more emotional than men and will, as a result of their emotions, distort their testimony.

2. Women do not participate in public life, so they will not be capable of understanding what they observe.

3. Women are dominated completely by men, who by the grace of God are deemed superior; therefore, women will give testimony according to what the last man told them.

4. Women are forgetful, and their testimony cannot be considered reliable
 
Saudi wanaweza kutumia excuse ya Sheria za nchi inayotawaliwa kwa misingi ya kidini kuelezea nini kile Westerners wanachokiita ukosefu wa demokrasia.Hivi excuse ya Mugabe inaweza kuwa ipi?

IS DEMOCRACY A UNIVERSAL PHENOMENON OR IS IT COUNTRY-SPECIFIC?

is cultural influenced and there are NO S/I units za kupima!!!!
 
Bro,
Nakuheshimu sana, kwani wewe ni mmoja ya watu hapa ninaopenda kusoma posts zao...........lakini hapo juu naona ulighafirika kidogo, yaani hujui tofauti ya uarabu na uislamu?? Je utasemaje kuhusu mormons wa Utah and other places across US?? Je utasemaje kuhusu ma-christian conservatives in the southern United States? Je unajua kwamba kuna "dry states" or rather areas, meaning kwamba hakuna kuuza "urithi wetu"?? Je umesahau kwamba nchi ya kiislam kama Pakistani imeshawahi kuwa na Waziri Mkuu ambaye ni mwanamke? Na mengine na mengine mpaka mikono yangu ikachoka kuandika.............Gademu!!!!!!!!. Kazi ipo.
 
Saudi wanaweza kutumia excuse ya Sheria za nchi inayotawaliwa kwa misingi ya kidini kuelezea nini kile Westerners wanachokiita ukosefu wa demokrasia.Hivi excuse ya Mugabe inaweza kuwa ipi?

IS DEMOCRACY A UNIVERSAL PHENOMENON OR IS IT COUNTRY-SPECIFIC?

well, the details can differ from one country to another, but there are basic principles that ought to be universal!
 
Jamani kama hawa Waingereza wanatu-lecture ni pale ambapo wanahisi fedha wanazotupa hatuzifikishi kwa wananchi.

Kumchangamkia Msaudi na kumchunia Mugabe ni kitu safi tu bila double standards. Mugabe kitu alichowafanyia wananchi wake sio chema kabisa wacha wamng'akie.

Kule Saudi hakuna masikini kule, wananchi wa Saudi wana msosi wa kutosha, wanatibiwa wakiugua, sio Zimbabwe lunch peke yake matajiri tu ndio wanaoweza kulipia niliona picha moja jamaa lunch break anaenda na gunia la fedha.

Jamani utu kwanza demokrasia mbele kwa mbele.
 
Please refer to my first thread and read it carefully na zaidi maneno ya Gordon BROWN KUHUSU DEMOCRATIZATION
 
Please refer to my first thread and read it carefully na zaidi maneno ya Gordon BROWN KUHUSU DEMOCRATIZATION

Game theory nielimishe tu kwa maneno machache ni kipi kinachokukera kuhusu Britain kutupa lecture, kumkaribisha King wa Saudi na kumpa kubwa Mugabe?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom