Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,868
- 19,258
LOL all cooperative stuff you just mentioned are like going to the 🚻 in Tanzania, not only tea but almost all cashcrops have their well established cooperatives and laws of conduct, hilo la kiwanda cha billion 138 baki nalo wewe na hao waliouziana sababu hiyo hata kichaa ukimumdanganya atajua tu hizo fixJamaa amenunua viwanda worth Tzshs 138bilion! Kenya wakulima wa chai huwa wanapeleka majani chai yao kwenye viwanda ambavyo wanamiliki wao kupitia co-operative zao. Kwa wakulima large scale kama David Lang'at na mashamba yake ya Koisagat Tea Estates viwanda huwa ni vyao, ndani ya mashamba yao. Infact kuna sheria ambayo inawazuia wakulima kupeleka majani chai yao kwenye viwanda ambavyo sio vya co-operative yao. Sasa wakulima wa Tz wana afueni gani? Maanake kupeleka majani chai yao kwenye viwanda vya watu binafsi, wakiwemo wazungu, na nyang'au, ni utumwa. Kampuni za kigeni zipo pia(multinationals), kama Finlays na mashamba ambayo wanalima huwa ni leased kwao na GOK, kwa miaka kadhaa. Output ya mashamba yote makubwa, ya makampuni pamoja na ya wazawa ni >20%.