British PM - "Half of all the tea drunk in the UK comes to us from Kenya"

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
untitled_design_-_2020-01-21t192319.697.jpg

UK prime minister Boris Johnson warmed the hearts of world leaders when he addressed the UK-Africa Investment Summit on Monday, January 20.

The UK premier reflected on the relationship between the UK and Kenya, noting the symbiotic relationship that thrives between the two nations.

"I’m told that probably partly as a result of what is going on in Mombasa, half of all the tea drunk in the UK comes to us from Kenya," Johnson noted.

"Think of that. Britain without a nice cup of tea is barely worth thinking about, and that means Britain without Kenya is barely worth thinking about," he stated, eliciting applause from the leaders in attendance.

UK Prime Minister Boris Johnson and African leaders at the 2020 UK-Africa Investment Summit on Monday, January 20, 2020.

"Literally sustained, kept sane and rational throughout the day by infusions of Kenyan supply tea. Even if it doesn’t originate in Kenya it comes through Kenya, you’ve got to be careful about that," Johnson added.

The UK premier further recognised the existing commercial projects undertaken by the two governments to bolster economic growth.

He noted the favourable environment that has been central to the thriving commercial environment for trade between the two nations.

"A relationship that benefits us all and makes a lasting, difference. And the same is true of the UK government’s $53 million investment at the Port in Mombasa," Johnson stated.

"A serious, commercially minded development like many other overseas investments in Africa. But rather than being arranged on extraordinarily one-sided terms and delivered by a vast imported workforce, without wishing to cast aspersions on any other potential partner.

"It was a sustainable deal that created jobs for ordinary Kenyans now and in the future. And it has made it easier for British businesses to work with and trade with their Kenyan counterparts and vice-versa," he noted.

President Uhuru Kenyatta was among the 21 African heads of states who graced the summit.

President Uhuru Kenyatta during the launch of Kenya's green bond at the London StockExchange on Sunday, January 19, 2020.
 
Mombasa Tea Auction is the second largest black tea auction in the world. Only tea auction in the world that sells tea from multiple countries. Yaani wakenya wamekuza hii auction hadi nchi zote ukanda huu huwa zinalazimika kuleta majani chai yao Mombasa, la sivyo inakuwa ni hasara tupu kwa wakulima. Alafu utawaona humu wakieneza chuki na porojo zao dhidi ya Kenya. We control your destinies, mpende msipende.
 
Biashara ndio unaita kushobokeana? Utakuwa unaishi maisha ya ajabu mno. Muambieni mzee akomalie chato, fursa zitamuandama huko huko hadi sebuleni.

Na wewe ukaamini kabisa kuwa mna supply chai % hizo?
Chai yenyewe mnaiba Tz
Halafu China na Sri Lanka sijui watakuwa na % ngapi
Yorkshire tea unaijua?
Eti biashara poor you

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mombasa Tea Auction ndio auction kubwa ya pili duniani baada ya ile ya Colombo, Sri Lanka. Nadhani nimesema hilo hilo kwenye comment yangu #1 hadi nikakuekea link ujionee takwimu wewe mwenyewe. Majani chai ya nchi kumi ukanda huu huwa yanauzwa Mombasa, Kenya, Tz, Ug, Rwanda, Burundi, DRC, Ethiopia, Malawi, Madagascar na Mozambique hadi nchi za bara lingine pia, New Guinea na Indonesia, wanataka kujiunga na auction ya Mombasa. Endeleeni kuibiwa, kwenye uzalishaji wa majani chai Kenya haijatoka kwenye Top 3 duniani tangu tupate uhuru. Kila mwaka huwa tunacheza namba za 1-3 tukiwa na China, Sri Lanka na India.
 
Mombasa Tea Auction ndio auction ya pili kubwa duniani baada ya ile ya Colombo, Sri Lanka. Nadhani nimesema hilo hilo kwenye comment yangu #1 hadi nikakuekea link ujionee takwimu wewe mwenyewe. Majani chai ya nchi kumi ukanda huu yanauzwa Mombasa, Kenya, Tz, Ug, Rwanda, Burundi, DRC, Ethiopia, Malawi hadi Mozambique na Indonesia wanataka kujiunga na auction ya Mombasa. Endeleeni kuibiwa, kwenye uzalishaji wa chai Kenya haijatoka kwenye Top 3 duniani tangu tupate uhuru. Huwa tunacheza namba za 1-3 tukiwa na China, Sri Lanka, India.

Asante kwa kuainisha na kwa uchambuzi mzuri

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Na wewe ukaamini kabisa kuwa mna supply chai % hizo?
Chai yenyewe mnaiba Tz
Halafu China na Sri Lanka sijui watakuwa na % ngapi
Yorkshire tea unaijua?
Eti biashara poor you

Sent from my iPhone using Tapatalk
Yeye mwenyewe kama prime minister ndiye amesema sasa unapinga nini?
 
i
untitled_design_-_2020-01-21t192319.697.jpg

UK prime minister Boris Johnson warmed the hearts of world leaders when he addressed the UK-Africa Investment Summit on Monday, January 20.

The UK premier reflected on the relationship between the UK and Kenya, noting the symbiotic relationship that thrives between the two nations.

"I’m told that probably partly as a result of what is going on in Mombasa, half of all the tea drunk in the UK comes to us from Kenya," Johnson noted.

"Think of that. Britain without a nice cup of tea is barely worth thinking about, and that means Britain without Kenya is barely worth thinking about," he stated, eliciting applause from the leaders in attendance.

UK Prime Minister Boris Johnson and African leaders at the 2020 UK-Africa Investment Summit on Monday, January 20, 2020.

"Literally sustained, kept sane and rational throughout the day by infusions of Kenyan supply tea. Even if it doesn’t originate in Kenya it comes through Kenya, you’ve got to be careful about that," Johnson added.

The UK premier further recognised the existing commercial projects undertaken by the two governments to bolster economic growth.

He noted the favourable environment that has been central to the thriving commercial environment for trade between the two nations.

"A relationship that benefits us all and makes a lasting, difference. And the same is true of the UK government’s $53 million investment at the Port in Mombasa," Johnson stated.

"A serious, commercially minded development like many other overseas investments in Africa. But rather than being arranged on extraordinarily one-sided terms and delivered by a vast imported workforce, without wishing to cast aspersions on any other potential partner.

"It was a sustainable deal that created jobs for ordinary Kenyans now and in the future. And it has made it easier for British businesses to work with and trade with their Kenyan counterparts and vice-versa," he noted.

President Uhuru Kenyatta was among the 21 African heads of states who graced the summit.

President Uhuru Kenyatta during the launch of Kenya's green bond at the London StockExchange on Sunday, January 19, 2020.'s green bond at the London StockExchange on Sunday, January 19, 2020.
inasikitisha chai tulime africa, lakini uambiwe kuwa hiyo chai hawanywi waafrika. Kwa nini?? Eti kisa hawawezi kuinunua, ipo juu sana. Tunywe kwanza sisi, ili wakija, heshima iwepo. Sema wana bahati sana waafrika jadi yetu ni ustaarabu. Sio ustaarabu tu, bali uliotukuka.
 
Yeye mwenyewe kama prime minister ndiye amesema sasa unapinga nini?

Unamuamini mwana siasa?
Mimi nimeona kwenye shelf za supermarkets chai ya Kenya ila sio nyingi hivyo kama anavyosema

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mombasa Tea Auction ndio auction kubwa ya pili duniani baada ya ile ya Colombo, Sri Lanka. Nadhani nimesema hilo hilo kwenye comment yangu #1 hadi nikakuekea link ujionee takwimu wewe mwenyewe. Majani chai ya nchi kumi ukanda huu huwa yanauzwa Mombasa, Kenya, Tz, Ug, Rwanda, Burundi, DRC, Ethiopia, Malawi, Madagascar na Mozambique hadi nchi za bara lingine pia, New Guinea na Indonesia, wanataka kujiunga na auction ya Mombasa. Endeleeni kuibiwa, kwenye uzalishaji wa majani chai Kenya haijatoka kwenye Top 3 duniani tangu tupate uhuru. Kila mwaka huwa tunacheza namba za 1-3 tukiwa na China, Sri Lanka na India.
Kenya mbele kwa mbele! Lakini mko wapi sasa na hiyo chai mpaka leo?? Usiseme Kenya, sema Afrika.
 
inasikitisha chai tulime africa, lakini uambiwe kuwa hiyo chai hawanywi waafrika. Kwa nini?? Eti kisa hawawezi kuinunua, ipo juu sana. Tunywe kwanza sisi, ili wakija, heshima iwepo. Sema wana bahati sana waafrika jadi yetu ni ustaarabu. Sio ustaarabu tu, bali uliotukuka.
Unaongea kuhusu nchi gani? Wakenya wanakunywa chai kwa wingi, tena majani chai ya Kenya kando na kuuzwa nje ya nchi na bara hili bado huwa yanatosheleza soko la ndani pia. Alafu sio kibahati bahati kwamba majani chai ya Kenya yana sifa ya ubora wa hali ya juu zaidi duniani kote. Usife kabla hujanywa premium tea kutoka Kenya, sanasana brand ya Kericho Gold Tea, its the real deal nakuambia.
 
Umeshawahi kufanya kazi kiwanda cha chai ndugu?? Au unaamini tu hivyo kuwa unayokunywa wewe na inayouzwa nje ni sawa?? Aliyewahi kufanya kazi ndio anaweza kuelezea hiyo.
 
Mkenya amepatana na mteja wa majani chai yake. Haya mambo ya mkoloni miaka hamsini baadaye ni ushamba flani hivi wa hali ya juu. Hivi unajua kwamba muitaliano alikuwa mkoloni wa muingereza milenia iliyopita chini ya 'empire' ya Roma?
Alikuwa hajawa muingereza bado
 
Back
Top Bottom