Wiston Mogha
Senior Member
- Feb 13, 2014
- 168
- 141
Mwanasheria mkuu ni miongoni mwa wezi wetu?
.
BRING BACK OUR MONEY CAMPAIGN YATINGA MWANZA KESHO
DAVID KAFULILA kesho kuzungumza na wanazuoni vyuo vikuu vya jiji la mwanza kuanzia saa nne mpaka saba mchana ukumbi wa goldcrest hotel kuhusu ufisadi wa 400bn ndani ya escrow akaunt bank kuu, ufisadi uliopelekea nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada ya kibajeti 2014/15 kushinikiza report za uchunguzi za pccb na cag zitoke huku kukiwa na kigugumizi kwa serikali kuruhusu report hizo kutoka kwa hofu ya mtandao wa wahusika katika ufisadi huo unaoweza kupelekea serikali kuanguka kama Rais atakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Wanavyuo na wadau wote wa maendeleo mnakaribishwa kujua namna singasinga alivotumia Tsh 6m kukwapua 400bn za umma ndani ya escrow akaunt bank kuu. Kafulila atamwaga ushahidi wote. Tusiwachie wazungu kupigana na mafisadi bila kuonesha hasira zetu dhidi ya wahujumu uchumi hawa....
WOTE MNAKARIBISHWA!
bring back our money,,,,,,,,,,,,,, hvi ni kwanini wanapenda kuongea na wanvyuo wa mwanza tuuuuuuu???? dar why????
Huyu kijana kafulila anafaa sana. Paul Makonda could borrow a leaf or two from this guy.....!
bring back our money,,,,,,,,,,,,,, hvi ni kwanini wanapenda kuongea na wanvyuo wa mwanza tuuuuuuu???? dar why????
Mkuu kuna gari lilikuwa linapita likitangaza uwepo wa huyu mheshimiwa eneo ulilotaja lakini mbona maudhui yalikuwa ni vit dhidi ya madawa ya kulevya? Wazungumzaji akiwa yeye, Hamisi Kigwangala n.k. Imekaaje hii?BRING BACK OUR MONEY CAMPAIGN YATINGA MWANZA KESHO
DAVID KAFULILA kesho kuzungumza na wanazuoni vyuo vikuu vya jiji la mwanza kuanzia saa nne mpaka saba mchana ukumbi wa goldcrest hotel kuhusu ufisadi wa 400bn ndani ya escrow akaunt bank kuu, ufisadi uliopelekea nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada ya kibajeti 2014/15 kushinikiza report za uchunguzi za pccb na cag zitoke huku kukiwa na kigugumizi kwa serikali kuruhusu report hizo kutoka kwa hofu ya mtandao wa wahusika katika ufisadi huo unaoweza kupelekea serikali kuanguka kama Rais atakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Wanavyuo na wadau wote wa maendeleo mnakaribishwa kujua namna singasinga alivotumia Tsh 6m kukwapua 400bn za umma ndani ya escrow akaunt bank kuu. Kafulila atamwaga ushahidi wote. Tusiwachie wazungu kupigana na mafisadi bila kuonesha hasira zetu dhidi ya wahujumu uchumi hawa....
WOTE MNAKARIBISHWA!
Hawa watu wa kigoma siwaamini hata kidogo, Zitto alianza hivi hivi zile za uswiss alivyovutiwa mkwanja tu kimyaaa....
_harakati za huyu dogo sishabikii hata kidogo maana najua hafiki mbali