Bring Back Our Democracy

Mnatakiwa mfahamu kuwa Rais Jasiri aliekubali na kuvumilia kusikia asiyopenda kastaafu miezi saba iliyopita!
Mkipewa uhuru wa kuropoka mnasema kuna Ombwe la uongozi mara Rais dhaifu.
Na hiyo ndio maana ya uhuru Mkuu
 
Nini mnatokwa na mapovu ccm ndio mliitaka sasa kwanini mapovu yanawatoka???lowassa fisadi Kweli kama lowassa fisadi mbona kajitoa ccm na ccm ndio yenye dola mbona wanashidwa kumshitaki kama Kweli ni fisadi?? Tatizo la watanzania tupo slow sana na kuamini kila kitu bila kufikiria watanzania shule ni kitu muhimu sana
 
Yaani mimi nafurahi sana ninavyoona wapinzani mnapata kibano murua. Na lazima ukawa wanyooke kabisa, na lazima safari hii mchapwe sana na Dr Tulia maana ndiyo Mungu wenu.
Wewe ni wa kukwidwa makwenzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…