Bring Back Our Democracy

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,945
67,564
Picha hizi ni baada ya tukio la leo kule Bungeni!!
368221d9b4f8171090b7d490f4607ba4.jpg

bdc733b550eebdabf945d9aea9f13d29.jpg

3abacfad90890153a2abdd72a8e5d23a.jpg

cccf5a9a019227dfee730bff9420bac4.jpg

7c30ef33adbae07be091597b859c54e5.jpg

1d063023c4332bfd783144461273e824.jpg

5c73a87530b0f48e0ab2a36b9b03086b.jpg

385ea17b2c6fbad7a523b59e8efb1463.jpg

a88fe3709eddb5a8e2887d7d3241d231.jpg

44e8def67eae9b19ba71d862bb0bf081.jpg

af35dc553ff545ea9ab9ab87d34d0216.jpg

51b137ade5dff4f2511617532062e0bb.jpg

429a0bc25933236bd905fa6a58cfe1c4.jpg
 
Hii vita ni Kali sana , sioni namna CCM inaweza kushinda!..! Hapa Demokrasia irudishwe tu!

Mzee Pinda alikuwa na kamsemo chake "HAKUNA NAMNA NYINGINE TENA!"
 
Mnatakiwa mfahamu kuwa Rais Jasiri aliekubali na kuvumilia kusikia asiyopenda kastaafu miezi saba iliyopita!
Mkipewa uhuru wa kuropoka mnasema kuna Ombwe la uongozi mara Rais dhaifu.
 
Mnatakiwa mfahamu kuwa Rais Jasiri aliekubali na kuvumilia kusikia asiyopenda kastaafu miezi saba iliyopita!
Mkipewa uhuru wa kuropoka mnasema kuna Ombwe la uongozi mara Rais dhaifu.
Nini tofauti kati ya uhuru wa kuropoka kama unavyouita wewe na Ombwe la uongozi?
 
Tatizo ni kuwa, haya yote ni humu jf tu. Tutoke nje ya box siku moja tu. Tusimame pale barabarani salenda bridge kwa saa moja tu
 
Nyumbu wanalalamika kuwa Tanzania hamna uhuru Wa kutoa maoni ,sasa hapo kwenye TV Msigwa anafanyaje??

Hivi dunia ya Leo yenye, Facebook, whatsap, jamii forum, magazeti kibao, Redio kibao, TV kibao utawezaje kumzuia MTU kukosoa na kutoa maoni yake??

Nyumbu hata hili hamjui??

Au kwenu chadema ili utoe maoni na kukosoa ni mpaka uandamanishe na uwashindishe juani watoto wa wenzio??

Basi kwenye hayo maandamano muwe mnatanguliza wake zenu na watoto wenu na sisi raia tutashiliki.
Mbona wewe hukumtuma mkeo aje kuropokwa Ila umewahi kuja kutokwa na povu pumzika mwagize akawambie hao Nyumbu
 
Mnatakiwa mfahamu kuwa Rais Jasiri aliekubali na kuvumilia kusikia asiyopenda kastaafu miezi saba iliyopita!
Mkipewa uhuru wa kuropoka mnasema kuna Ombwe la uongozi mara Rais dhaifu.
Yeeah ,kweli Jk was a democratic leader ,we gonna miss him alot
 
Tatizo ni kuwa, haya yote ni humu jf tu. Tutoke nje ya box siku moja tu. Tusimame pale barabarani salenda bridge kwa saa moja tu
Nyooo...!!! Tema mate mkuu,huku kuna heroes behind the keyboards,tukisimamishwa hadharani,utatuonea huruma
 
Back
Top Bottom