Zoomtanzania na brighter monday ni wale wale tu sizani kama hua wanatoa ajira sahihi ukienda zoomtz wanakulink brighter Mondays hawajamaa futa kwenye akili yako kabisaa hawatoi kazi Bali wanatafuta pesaWadau kwema?
Jana nilimtembelea mdogo wangu mmoja ambae yuko nyumbani kwa sasa (Hana kazi) kwa sababu zake za kibinafsi. Basi katika story za hapa na pale akanionyesha kwenye Laptop yake kua ameomba kazi sehemu mbali mbali kupitia mitandao mbali mbali.
Mojawapo ya Mitandao alioomba ni hawa BRIGHTER MONDAY. Amenionyesha mahali ambako kuna meseji ametumiwa lakini hawezi kuzifungua mpaka aji-upgrade kwenda Premium Package. Na Upgrade hiyo inahitaji kulipia Tshs 33,000/= kwa mwezi kwenda kwa hao Brighter Monday. Wasiwasi wake ni kua pengine hizi meseji alizotumiwa ni kutoka huko kwenye makampuni alikoomba kazi.
Lakini nimewaza inakuaje mtu kuiona meseji zake mpaka azilipie ili awe Premium? Yaani ni sawa na hapa JF ukitaka kuona PM zako basi inabidi ulipie, hii imekaaje? Ina maana kama ni kweli amejibiwa na huko alikoomba na anatakiwa ahudhurie Interview si ndo hatofahamu sasa? Kwanin basi wasingeweka hii toka mwanzo kua meseji zinalipiwa?
Binafsi naona kama huu ni utapeli kwa kivuli cha ajira, maana hata hizo meseji zenyewe huwezi kujua ni zipi, zimetoka wapi na zinahusu nini, unaweza kulipia ukakuta hata ni Matangazo ya Biashara ya watu. Pili nature ya mtandao wenyewe ni watu ambao wanatafuta ajira, pengine mtu hana hiyo hela ndio anatafuta ajira, sio sawa hii.
Nimewaza kama Maxence Melo angeweka humu kua kuziona PM zako lazima ulipie ingekuaje?Ndugu, changamoto zako ndio mtaji wa watu wengine. Aliyetengeneza hiyo portal ya Brighter Monday aliona changamoto zilizopo katika kutafuta ajira, hivyo akatumia changamoto hizo kuweza kujitengenezea kipato. Nothing free.
JF wanalipwa kwa staili ya tofauti. Hizi Ads unazoziona humu si za bure, wanalipia.Nimewaza kama Maxence Melo angeweka humu kua kuziona PM zako lazima ulipie ingekuaje?
Nachowaza tu ikiwa hizo Notifications kuna za kuitwa Intavyuu inakuaje hapo?Binafsi ni mmoja kati ya muhanga wa iyo ishu. Mwanzon kidogo hao jamaa walkua hawajaingia Zoom Tanzania, maomb ya kazi yalikua yanaenda vizuri na kam ukiitwa Interview unapata taarifa zako bila tabu. Lakin tangu hao jamaa waingie mambo yamekua tofauti kabixa yaan kwanza izo kazi mpka uombe lazim ujisali kwnye web yao. Na bado kuona izo notifications zako ni lazim mpaka ulipiee...
Kiukweli wanaumiza sana...
yaaahhh...ndo ivooo...Nachowaza tu ikiwa hizo Notifications kuna za kuitwa Intavyuu inakuaje hapo?
Si ndo umekosa kazi?
Aisee hao jamaa ni wapuuzi saana ...dogo awe anatuma kwenye emeli za kampuni husika.....Wadau kwema?