green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,359
- 35,959
Ndio lazima mmuonyeshe mashamba yote na idadi ya nguvu kaziSisi ndio tutamfundisha namna ya Kuendesha Magereza
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Hapa kwetu kwa sasa(under one man show) hilo halina umuhimu, tena, hata awe amekulia humo, atafuata maagizo tu, na sio ubunifu wake!!! Unaweza kuwa mkulima tu, kama nyota yako iko vizuri, ukajikuta, msimamizi wa vyama vya siasa tz!!!Hivi position kama ile si unahitajika mtu mwenye experience na magereza kamanda aliyetoka amekulia magereza huyu amekulia jwtz hapa sijui inakuwaje?
Mshtue akukumbuke kwenye ufalme wake...hahahhaSM Mzee mchapakazi haswa na mbunifu. ..Magereza inaenda kuibua MiradIi ya kutosha. ..sasa Ndugu Kamishina uache kuvuta fegi ingawaje enzi zile nabeba box nchi ile ulipoletwa na Jeshi kimasomo tulivuta wote sababu ya baridi
Lakini twende mbele turudi nyuma jeshi mama wa majeshi mengine yote ni JWTZ
Na kushuka au kupanda cheo?
Usijar humu tupo kwa ajil ya kufahamu vile tusivyovijua ndio maana hata cheo kava Cha magereza mkasi,mwenge,2stars na Sio kile alichokuwa anavaa mkas bib na bwana pamoja na 1starMkuu niwie sana radhi nilikubishia juu ya vazi atalovaa kamishina mpya wa mageko ila ulikuwa sahihi kabisa kunielekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi vua combat. Ataendelea nazoWe ni mwehu lzm dress code ya jeshi la magereza,akitumbuliwa atarudia cheo chake cha awali,,,,cheo lzm avae cha magereza na uniform pia,,,,siku ya kuapishwa anaweza vaa za Jwtz maana atakuwa hajavalishwa cheo kipya cha cgp ila akiapa tu anavua baka baka mzee magereza ni jeshi kubwa lenye taratibu zake
Mpotoshaji. Unaongea kama una uhakika vile kumbe sifuri kabisa.Jeshi Ni Moja TU JWTZ.
Afisa wa JWTZ hawezi vaa Sare za Polisi, Magereza, Uhamiaji au Zimamoto.
Watu wanasema anafaa kuwa CDFRais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Mzee kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza kuziba nafasi ya Kamishna Jenerali mstaafu Kasike aliyeteuliwa kuwa balozi.
Brigedia Jenerali Mzee ametokea JWTZ.
Source ITV habari