Briefing ya TEC na Rais by Fr. Kitima

Haha Kitima bwana ni kama
juzi hakuwa kwenye kikao.

Anamuuliza mwandishi “umemsikia wapi Rais ameomba msamaha kwa niaba ya watendaji wake kwa kilichotokea”? Rais aliomba msamaha wafanyabiashara na taasisi kwa kukata internet.

Tumeelewa Kitima, kuwa Spika alikuja kuwaona ninyi, na ninyi mkaomba kikao na Rais. Wazee mna busara sana.
 
Hatuwezi kutoka hapa kwa serikali kuongea na maaskofu bali serikali kuongea na wananchi… Fr. Kitima

Anasema maaskofu hawana mandate ya kusema haya mambo tumesamehe yameisha, ni wananchi wenyewe wanapaswa kuombwa samahani, na kabla ya samahani utangulie ukweli!

Ngoma ngumu, ego za watawala zitashuka?
 
BAKWATA wamejaa vilaza tu.
Wanajua tu tende na pilau.
Kuna mtu alikuwa ananiambia kuna sinia za ubwabwa uwa ni special kwa mashehe. Sasa nasikia mtoto mdogo alienda kukaa na kuanza kula kwenye sinia za mashehe bila kujua kuwa hizo sinia ni untouchable...... Mtoto alizabwa vibao hadi akazimia hadi leo mtoto ni kiziwi!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…