Malisa kaua kila kitu. Juzi nikaona mabinti wana diskasi ohh hajapakwa kitu, sijui nn, nikawatazama nikase hiiiiMalisa g kanifurahisha View attachment 783393
Mkuu nahisi bidhaa tunaotumia huku wanazotuletea sio sawa na kule UlayaMalisa kaua kila kitu. Juzi nikaona mabinti wana diskasi ohh hajapakwa kitu, sijui nn, nikawatazama nikase hiiii
Ha ha wabongo bana kama naiona Harus ya Alikiba Mombasa. Mtu anapakwa takataka mpk anakuwa kama mdudu
Vingi tu hatufanani hata tv kama samsung tafuta model zilizoko Afrika, utakuta zipo na uarabuni tu lakini ulaya wana zaoMkuu nahisi bidhaa tunaotumia huku wanazotuletea sio sawa na kule Ulaya