BRICS wamsaidie Ayatollah

BRICS wamsaidie Ayatollah

Mzuka Wana Jamvi!

Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi.

Wanachekesha sana eti walianzisha BRICS kumkomoa Marekani. Wenyewe tu njaa licha ya rasilimali walizonazo.

😅🤣😂😅🤣😂🤣😂

adriz de Mafwele
Lengo la Trump ni kudhoofisha nguvu ya Urusi ili amalize vita Ukraine.
China anafaidika Venezuela
Urusi anafaidika Venezuela
Cuba anafaidika Venezuela
Iran anafaidika Venezuela

China anamsaidia Urusi kukwepa vikwazo vya ULAYA NA MAREKANI
Irani anamsaidia Urusi ndege zisizo na rubani kupigana vita Ukraine
Ikiwa Irani itaanguka ,ina maana Urusi atakosa msaada wa kijeshi na ataingia katika mazungumzo ya kumaliza vita.
Mzinguko huo BRICS ukidhoofishwa dunia itakaa na amani
 
Hii game imejaa zuga nyingi USA wanataka greenland, china anaitaka taiwan, Urusi washamega ukraine, kila giant anainterest zake.
 
Iran ni dhahabu iliyo kwenye tanuri la moto ikitoka inapozwa na kuingizwa sokoni
Nalog off Z
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom