BRICS wamsaidie Ayatollah

BRICS wamsaidie Ayatollah

Mcmillan de Maghayo

Senior Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
186
Reaction score
393
Mzuka Wana Jamvi!

Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi.

Wanachekesha sana eti walianzisha BRICS kumkomoa Marekani. Wenyewe tu njaa licha ya rasilimali walizonazo.

😅🤣😂😅🤣😂🤣😂

adriz de Mafwele
 
Marekani tayari alishawaparalaizi, hawana nguvu wale. Brazil na South zinapigwa mikwara ya kitoto wala hazitajaribu kuisaidia iran. china naye kaambiwa ruksa kujitwalia taiwan utakavyo. sasa hapo china si itabidi iione marekani ni mshirika wake katika kujitanua kwao? inabidi iichalie mbali iran ipambane na hali yake yenyewe
 
Mzuka Wana Jamvi!

Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi.

Wanachekesha sana eti walianzisha BRICS kumkomoa Marekani. Wenyewe tu njaa licha ya rasilimali walizonazo.

😅🤣😂😅🤣😂🤣😂

adriz de Mafwele

Na lile rais la afrika kusini ni kama litaahira . Ukilitizama usoni tu unaona ni boya sana. Lipo kama jinga tu.
 
Mzuka Wana Jamvi!

Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi.

Wanachekesha sana eti walianzisha BRICS kumkomoa Marekani. Wenyewe tu njaa licha ya rasilimali walizonazo.

😅🤣😂😅🤣😂🤣😂

adriz de Mafwele
BRICS ni cowards tu. Hakuna wa kumsaidia mwenzake mle.
Wote wana bowdown kwa Emperor Trump.
Heil Trump🫡🫡🫡🫡
 
Ndo
Hawana War pact. Kuna vitu inabidi tu kuvielewa. ILE SIO JUMUIYA YA KIJESHI, ni jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi, tofauti na namna ilivyo NATO.
Maana tunasema mambo mengine yanahitaji kuona mbele sana.
Kuimarisha uchumi bila kuwa imara kijeshi,ni sawa na kukunua dhahabu ukahifadhi kwenye jumba lisilo na milango wala madirisha
 
Hawana War pact. Kuna vitu inabidi tu kuvielewa. ILE SIO JUMUIYA YA KIJESHI, ni jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi, tofauti na namna ilivyo NATO.
Waisaidie sasa kiuchumi. Kwasababu uchumi wa Iran hoi. Mbona Euro zone waliisaidia Ugiriki, Spain na Ireland?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom