Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,222
- 27,443
Hii mijadala mngekua mnawaachia wenye akili zao.Tafute kwanza lugha yakutumika kuwaunganisha mnataka kuikwepa Dola na bado mnatumia lugha yake
Mtafeli mapema
Hii mijadala mngekua mnawaachia wenye akili zao.Tafute kwanza lugha yakutumika kuwaunganisha mnataka kuikwepa Dola na bado mnatumia lugha yake
Mtafeli mapema
Sawa kakojoe ulaleHii mijadala mngekua mnawaachia wenye akili zao.
Kuwa na adabu dogo.Sawa kakojoe ulale
Wishful thinking, $$ haitaangushwa kwa maombi km ya mwamposa! Haijajengwa kwa vikao km vya brics imeundwa kwa jasho na damu na imechimbiwa mizizi mirefu haing’olewi kwa vikao vya kichawiHata Roma hawakuamini kama inaenda kudondoka kama dollar, endeleeni kukariri hivyo hivyo
It's a kind of journalism,and in journalism you've to acknowledge the sourceSio Sheria ya JF.Take or leave it,this is not a PhD thesis.
naungana na wewe inawezekana lakini itachukua muda sana mpaka kufikia watu waiche dollar moja kwa mojaInawezekana lakini itachukua muda sana
I know why you are demanding the source:you do not like the information.Source hii hapa anyway.It's a kind of journalism,and in journalism you've to acknowledge the source
Mi mbona nimeweka hiyo habari humuhumu baada ya msemaji kusema alinukuliwa vibaya,si nchi bali ni participants, najua ipoI know why you are demanding the source:you do not like the information.Source hii hapa.It is a very accurate and authentic source owned by a former high ranking CIA official.He gets his intel information from his former colleagues in the CIA.
Hongera sana mkuu,"Mass Formation Psychosis" bado haijakuathiri,you are still 'yourself,' keep it up.Unajitambua mkuu,well done.Ukisoma komenti nyingi humu ndio utajua nchi hii Ina watu wanaojifanya wajuaji kupitiliza lakini hamna chochote vichwani mwao.
Hii ndio maana inaonesha watanzania tumezidiwana wakenya kwa mambo mengi mno.
Achilia wakenya tunaweza kua tumezidiwa hata na Wanyarwandakwa kufikiri.
Unakikita bado kinakaa kwa wazizi au wakubwa zake,ama bado kimepanga,kipo hapa hapa Tanzania ambayo inaagiza Hadi toothpick kutoka nje,Michele na sukari kutoka nje,nguo kutoka nje,vipodozi,midoli ya kuuchezea watoto na Kila kitu,Tena kutoka huko huko kwenye nchi 159 zinazotaka kujiunga na Mifumo ya BRICS.
Aisee hii nchi ngumu sana.
Unakuta kijiMtanzania chenzangu kinaidhara BRICS na nchi zilizounda umoja huo.
Wakati hicho kijimtu Kiko VICOBA ambayo hata haikuundwa Tanzania.
VICOBA ni village Cooperative banking hii ilianzishwa Asia.
Sasa najiuliza hicho kijiMtanzania kinachoiponda BRICS kinajiona kina akili kuliko wachumi wa nchi zote 159 zinzotaka kutumia Mifumo hiyo ya BRICS.?
Kinajiona kina akili kuliko wachumi wa china, Urusi,Brazil,India na south Africa.
Aisee Tanzania Ina binadamu ambao hawapatikani sehemu yoyote hapa duniani.
Kwanza Iko hivi,
Mimi sijali kama Mifumo huu utafanikiwa au hautafanikiwa.
Mimi ninachozipongeza nchi za BRICS ni kupambana kujitoa kwenye manyanyaso ya Marekani.
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kusimangwa au kunyanyaswa na mtu juu ya huduma Fulani halafu ukaendela kua mpole TU badala ya kutafuta njia mbadala za kujinasua.
Hiyo kwa BRICS ni hatua kubwa mno.
Halafu kinachofuata ni kuboresha njia hiyo mbadala hatua kwa hatua Hadi itakapokaa vizuri.
Tuchukue mfano kwa Urusi.
Baada ya Urusi kuwekewa vikwazo watu walitaka Putin,Lavrov na waziri wa fedha wa Urusi waende Washington wakampigie magoti Biden.
Aisee Mungu aendelee kuzibariki nchi za BRICS.
Kwa kawaida mwanzo siku zote hua ni mgumu Mifumo huu utatoboa na BRICS imeshatoboa.
We uko dunia gan mkuu? 😥Watatumia sarafu ya nani katika ummoja wao huo au wanalishana matango pori tu?
Pole...Wishful thinking, $$ haitaangushwa kwa maombi km ya mwamposa! Haijajengwa kwa vikao km vya brics imeundwa kwa jasho na damu na imechimbiwa mizizi mirefu haing’olewi kwa vikao vya kichawi
Pole...
Ukisoma komenti nyingi humu ndio utajua nchi hii Ina watu wanaojifanya wajuaji kupitiliza lakini hamna chochote vichwani mwao.
Hii ndio maana inaonesha watanzania tumezidiwana wakenya kwa mambo mengi mno.
Achilia wakenya tunaweza kua tumezidiwa hata na Wanyarwandakwa kufikiri.
Unakikita bado kinakaa kwa wazizi au wakubwa zake,ama bado kimepanga,kipo hapa hapa Tanzania ambayo inaagiza Hadi toothpick kutoka nje,Michele na sukari kutoka nje,nguo kutoka nje,vipodozi,midoli ya kuuchezea watoto na Kila kitu,Tena kutoka huko huko kwenye nchi 159 zinazotaka kujiunga na Mifumo ya BRICS.
Aisee hii nchi ngumu sana.
Unakuta kijiMtanzania chenzangu kinaidhara BRICS na nchi zilizounda umoja huo.
Wakati hicho kijimtu Kiko VICOBA ambayo hata haikuundwa Tanzania.
VICOBA ni village Cooperative banking hii ilianzishwa Asia.
Sasa najiuliza hicho kijiMtanzania kinachoiponda BRICS kinajiona kina akili kuliko wachumi wa nchi zote 159 zinzotaka kutumia Mifumo hiyo ya BRICS.?
Kinajiona kina akili kuliko wachumi wa china, Urusi,Brazil,India na south Africa.
Aisee Tanzania Ina binadamu ambao hawapatikani sehemu yoyote hapa duniani.
Kwanza Iko hivi,
Mimi sijali kama Mifumo huu utafanikiwa au hautafanikiwa.
Mimi ninachozipongeza nchi za BRICS ni kupambana kujitoa kwenye manyanyaso ya Marekani.
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kusimangwa au kunyanyaswa na mtu juu ya huduma Fulani halafu ukaendela kua mpole TU badala ya kutafuta njia mbadala za kujinasua.
Hiyo kwa BRICS ni hatua kubwa mno.
Halafu kinachofuata ni kuboresha njia hiyo mbadala hatua kwa hatua Hadi itakapokaa vizuri.
Tuchukue mfano kwa Urusi.
Baada ya Urusi kuwekewa vikwazo watu walitaka Putin,Lavrov na waziri wa fedha wa Urusi waende Washington wakampigie magoti Biden.
Aisee Mungu aendelee kuzibariki nchi za BRICS.
Kwa kawaida mwanzo siku zote hua ni mgumu Mifumo huu utatoboa na BRICS imeshatoboa.
Mpaka mwaka 1990 Marekani na nchi za Magharibi zilikuwa zinamiliki zaidi ya %70 ya uchumi wa dunia lakini leo hii leo hii wanamiliki %25 tu ya uchumi wa dunia acha kukalili.Wishful thinking, $$ haitaangushwa kwa maombi km ya mwamposa! Haijajengwa kwa vikao km vya brics imeundwa kwa jasho na damu na imechimbiwa mizizi mirefu haing’olewi kwa vikao vya kichawi
Ahsante, endelea kusubiri kiongozi! Mi naiishi $$$ saswanaangaliaa
Sasa hivi uko sahihi, wenzio wanaangalia hatma ya vizazi vyao vijavyo, waafrika wote tuna akili kama zako mkuu😀Ahsante, endelea kusubiri kiongozi! Mi naiishi $$$ sasa hivi
Sasa hivi uko sahihi, wenzio wanaangalia hatma ya vizazi vyao vijavyo, waafrika wote tuna akili kama zako mkuu😀