BRICS confirms 159 countries will adopt new Global Payment System (GPS), effectively isolating the U.S. Dollar

BRICS confirms 159 countries will adopt new Global Payment System (GPS), effectively isolating the U.S. Dollar

Hizi hadithi za Mrusi ni za kudanganyana. Mchina yupo busy kununua government bills za UDA ili kujihakikishia kuwa na akiba ya kutosha ya dollar, lakini kwa vinnchi vidogo, wanavidanganya kuwa wataiondoa dola kama sarafu muhimu ya kimataifa katika biashara.

Nchi za Afrika zikidanganyika, zikajiingiza kwenye hili, zitakuja kujuta. Urusi anahangaika kwa sababu imeondolewa kwenye mfumo wa malipo Duniani, inatafuta mataifa ya kufa nayo.
Kwani shida iko wapi mbona tunanunua hata China bila dola??? hata India unaenda unatumia hela zao sasa shida iko wapi acheni utumwa wa akili jiongezeni.
 
AI chatgpt

Kabla ya Vita vya Pili vya Dunia, mfumo wa fedha wa kimataifa ulikuwa tofauti sana na ulivyo leo. Hakukuwa na fedha moja iliyoongoza dunia kwa njia ile ile ambayo dola la Marekani linavyofanya leo. Badala yake, mfumo ulikuwa na vipengele kadhaa, na fedha mbalimbali zilikuwa na ushawishi mkubwa katika maeneo tofauti:

1. Mfumo wa Dhahabu:

• Mfumo huu ulikuwa unatumika katika nchi nyingi zilizoendelea.

• Fedha za nchi zilikuwa zimeunganishwa na dhahabu, maana yake thamani ya fedha ilikuwa inategemea kiwango cha dhahabu kilichohifadhiwa na serikali.

• Hii ilikuwa inatoa uthabiti fulani katika biashara ya kimataifa, kwani watu walijua kwamba fedha zao zinaweza kubadilishwa na dhahabu.

• Hata hivyo, mfumo huu ulikuwa na mapungufu, kama vile ugumu wa kukabiliana na mabadiliko ya uchumi na ongezeko la mahitaji ya fedha.

2. Pauni ya Uingereza:

• Pauni ilikuwa fedha inayoongoza katika biashara ya kimataifa kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia.

• Ufalme wa Uingereza ulikuwa na nguvu kubwa ya kiuchumi na kijeshi, na hii ilisaidia kuimarisha nafasi ya pauni.

• Biashara nyingi za kimataifa zilifanyika kwa kutumia pauni, na ilikuwa fedha ya akiba kwa nchi nyingi.

3. Franci ya Ufaransa:

• Franci ilikuwa fedha muhimu katika biashara ya kimataifa, hasa katika maeneo ya Ulaya na Afrika.

• Ufaransa ulikuwa na koloni nyingi, na hii ilisaidia kuimarisha nafasi ya franci katika biashara ya kimataifa.

4. Fedha zingine:

• Fedha zingine zilikuwa zikitumika katika maeneo tofauti ya dunia, kama vile Deutsche Mark ya Ujerumani, Yen ya Kijapani, na Marekani dola.

• Hata hivyo, ushawishi wao ulikuwa mdogo ikilinganishwa na pauni na franci.

Muhimu:

• Mfumo wa fedha kabla ya Vita vya Pili vya Dunia ulikuwa mgumu zaidi na haukuwa na utawala mmoja wa fedha.

• Pauni ya Uingereza ilikuwa na nguvu kubwa, lakini ushawishi wake ulianza kupungua baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia.

• Vita vya Kwanza vya Dunia vilikuwa na athari kubwa katika mfumo wa fedha wa kimataifa, na kusababisha mabadiliko makubwa katika miaka ya 1920 na 1930.

Baada ya Vita vya Pili vya Dunia, mfumo wa fedha wa kimataifa ulibadilishwa, na dola la Marekani lilichukua nafasi ya pauni kama fedha inayoongoza duniani. Hii ilikuwa kutokana na nguvu ya uchumi wa Marekani baada ya vita na pia jukumu lake katika kuunda mfumo mpya wa fedha wa kimataifa.

Sasa kila baada ya vita kuu kupiganwa kuna kuwa na fedha mpya inaibuka na kutawala dunia. Hapa China anapasubiria sana.
Kila vita kuu hua zina agenda mkuu.Hapa tunasuniri vita ya tatu ya Dunia ili wa-introduce CBDC.
 
Sasa hivi uko sahihi, wenzio wanaangalia hatma ya vizazi vyao vijavyo, waafrika wote tuna akili kama zako mkuu😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wanachanganya mambo USA kudominate huo mfumo inatokana na uchumi wake kwa mkubwa dunia kuliko nchi yoyote, mifumo yote ya uchumi amekamata, amekamata soko la dhahabu, amelikamata soko la mafuta, anahudumia vikao vya UN, world bank iko pale , Rusia uchumi wake ni mdogo sana hana ushawishi sana kwenye eneo la uchumi hawezi kuyumbisha uchumi wa USA. Nchi za Ulaya kila nchi inatumia pesa yake, kuna paund, Euro, Franco, zote hizo ni nchi zenye uchumi mzuri lakini wameshindwa kuathili dolar
 
Wabongo bana kwa hiyo umeona umechangia kitu cha maana sana ..ukiulizwa usa anachingia kiasi gani kwenye uchumi wa dunia ..utasema nini ..halafu soko la mafuta unamaanisha nini ..
 
After recent rumblings surfaced of how many nations would embrace the impending BRICS Pay system, the bloc has confirmed 159 participants are set to adopt the new payment system.

Indeed, the economic alliance system is poised to hit the ground running when it finally launches.

Now, all eyes are on when that launch will take place. Many have surmised that it would be announced at the highly anticipated 2024 Summit. Moreover, it would be set to go live in what would be a groundbreaking unveiling.

If that were to happen, the bloc has already noted there is a long line of entities ready to embrace it.

Earlier this year, the BRICS bloc announced the creation of a blockchain-based payment platform. It would redefine the collective’s global economic standing. Moreover, it would compete with some of the largest payment systems worldwide. That includes the Western-dominated SWIFT system.

Now, the BRICS group confirmed that 159 participants will adopt the new payment system. Indeed, Russian officials verified the number in a recent correction, according to a Yahoo report. Although previous statements rumored 160 countries would be involved, the number was clarified in subsequent reports.

The payment system is crucial to the bloc’s ongoing de-dollarization efforts. It will provide participating countries with an avenue to trade in local currencies. Therefore, it will greatly enhance how these nations settle trade; ultimately, decreasing international necessity for the U.S. greenback.

WHY THE EXODUS FROM THE DOLLAR?
Russian President Vladimir Putin yesterday, said this on the de-dollarization of the world economy: ”

The financial and political authorities of the United States are pushing this process forward with their not just careless, but unprofessional and stupid actions.

I think that they already understand that they made a mistake, but they simply cannot get out of this rut, it is probably no longer very convenient for them to admit that they made a mistake, but it would be necessary to correct something, they see that the tools they are using do not work.

We are switching to national currencies and that’s it. They (American officials) can no longer do this, apparently, only those people who will replace today’s generation of politicians can do this. To change something means to admit your mistakes. Apparently, this is difficult.”
It's time...
 
Punguza kuokota story online na kuja ku paste hapa. Soma chambu, verify source
 
Wabongo bana kwa hiyo umeona umechangia kitu cha maana sana ..ukiulizwa usa anachingia kiasi gani kwenye uchumi wa dunia ..utasema nini ..halafu soko la mafuta unamaanisha nini ..
😀😀😀😄✔️✔️✔️✔️Tanzania Ina watu wenye akili kubwa kuliko watu wote wa nchi za BRICS ambazo katika hizo Kuna nchi Tatu zimo kwenye nchi kumi zenye uchumi Bora duniani.
Wakati Tanzania haimo hata kwenye nchi 100 Bora.
Ila kitu ninachojivunia kwa Tanzania ni kua Tanzania inaagiza Hadi ma toy ya kuuchezea watoto kutoka BRICS.
Maana yangu ni kwamba hata toys TU hatuwezi kutengeneza.achilia mbali vijiti vya kusafishia masikio,vijiti vya kuchokonolea meno,mashuka na nguo zinzotenhenezwa kwa pamba na vitu kibao tunaagiza kwa BRICS.
Halafu unakikuta kijamaa kimevimba kabisa kinaponda BRICS.
 
Ukisoma komenti nyingi humu ndio utajua nchi hii Ina watu wanaojifanya wajuaji kupitiliza lakini hamna chochote vichwani mwao.
Hii ndio maana inaonesha watanzania tumezidiwana wakenya kwa mambo mengi mno.
Achilia wakenya tunaweza kua tumezidiwa hata na Wanyarwandakwa kufikiri.

Unakikita bado kinakaa kwa wazizi au wakubwa zake,ama bado kimepanga,kipo hapa hapa Tanzania ambayo inaagiza Hadi toothpick kutoka nje,Michele na sukari kutoka nje,nguo kutoka nje,vipodozi,midoli ya kuuchezea watoto na Kila kitu,Tena kutoka huko huko kwenye nchi 159 zinazotaka kujiunga na Mifumo ya BRICS.
Aisee hii nchi ngumu sana.
Unakuta kijiMtanzania chenzangu kinaidhara BRICS na nchi zilizounda umoja huo.
Wakati hicho kijimtu Kiko VICOBA ambayo hata haikuundwa Tanzania.
VICOBA ni village Cooperative banking hii ilianzishwa Asia.
Sasa najiuliza hicho kijiMtanzania kinachoiponda BRICS kinajiona kina akili kuliko wachumi wa nchi zote 159 zinzotaka kutumia Mifumo hiyo ya BRICS.?
Kinajiona kina akili kuliko wachumi wa china, Urusi,Brazil,India na south Africa.
Aisee Tanzania Ina binadamu ambao hawapatikani sehemu yoyote hapa duniani.

Kwanza Iko hivi,
Mimi sijali kama Mifumo huu utafanikiwa au hautafanikiwa.
Mimi ninachozipongeza nchi za BRICS ni kupambana kujitoa kwenye manyanyaso ya Marekani.
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kusimangwa au kunyanyaswa na mtu juu ya huduma Fulani halafu ukaendela kua mpole TU badala ya kutafuta njia mbadala za kujinasua.
Hiyo kwa BRICS ni hatua kubwa mno.
Halafu kinachofuata ni kuboresha njia hiyo mbadala hatua kwa hatua Hadi itakapokaa vizuri.
Tuchukue mfano kwa Urusi.
Baada ya Urusi kuwekewa vikwazo watu walitaka Putin,Lavrov na waziri wa fedha wa Urusi waende Washington wakampigie magoti Biden.
Aisee Mungu aendelee kuzibariki nchi za BRICS.
Kwa kawaida mwanzo siku zote hua ni mgumu Mifumo huu utatoboa na BRICS imeshatoboa.
Umemaliza kabisa ndugu!!
Ukisoma comments za watu humu unagundua yafuatayo:
1.Tuko very negative na mambo ya maendeleo
2.Hatuna long term plan - mtu anasema et it will take 100 yrs...Sasa nani alikuambia vitu vinaibuka ndani ya miaka 5.Ndoo maana unakuta barabara moja ndani ya miaka 10 inajengwa mara mbili au barabara za mji mkuu kama DSM zinachimbuliwa upya kila kona wakati ni juzijuzi tu hapa hizo zinazochimbuliwa zilijengwa.
3.Tunataka short cut - hatutaki kuumia - vitu vya mlolongo mrefu vinavyohitaji utaalamu, subra kwa ajili ya vizazi vyetu hatutaki.
4.Tuko wabinafsi na wachoyo:Tunaangalia matumbo yetu tu..bila kujali what will happen in 100 yrs.
5.Hatuna uzalendo: Wakati watu wanawaza namna ya kuepuka neocolonialism - sisi ndo kwanza tunaponda..ooh..it will never happen, ooh US is the super power..shiit nyingi sana.
Watu wanafikiri US ilifika hapo kwa kucheza na kuwa short sighted..na kama US alifanya why not CHINA,RUSSIA, TURKEY, SOUTH AFRICA etc.???
Yaani wakati watu ulimwenguni hawalali wako busy kuangalia namna vizazi vyao vitakavyokuwa kuwa free sisi ndo kwanza tunapinga - hatutaki kuwa na chetu, tunawapigia makofi haohai ambao miaka 70 iliyopitisha wametupitisha kwenye moto tu hapo - utumwa n.k.
Hatuna utamaduni wakutiana moyo kwa vitu vizuri..ni full dissappointments tu..duuh..HAWATAWEZA, NI NGUMU..NYIE KWANI NANI ALISEMA HAYO MAMBO NI MEPESI AISEE??
Sasa sisi tutatengenez nini...payment systems - tumekubali hatuna kitu - hatuwezi na hatuna mpango, Nguo kuna wachina, Turkey, chupi zinatoka China, Magari yanatoka Jaoan, Ulaya na kwa hizo comments it means hatuwezi kucompete kwa chochote sababu ulimwenguni huko watu wako mbele yetu kwa kila kitu...
Na ndo maana watu wanaiba pesa Afrika wanapeleka Ulaya....
 
Kwani nimekataa mkuu? Nimesema watakuwa na tangible plan baada ya miaka 100+ ni lugha tu, hiyo miaka maana yake km ulivosema ni VIZAZI VIJAVYO. Shule tu
Kwani unafikir USA waliibuka tu kutoka from know were wakawa super power? Long term plan ndio itakayoinua nchi yako au bara lako haijalishi ni kizazi gani, hivyo hivyo "Roman empire" hakukupambazuka tu asubuhi Ikaporomoka hapana, maadui zao walijipanga, mwisho wa Siku Roman Empire imebaki stori
 
Out of context anyway!
 
Yes but sio kwa vikao! Hakuna mahali kwenye principles za Uchumi zinasema dolar ilipata nguvu ya kutawala biashara ya dunia kwa vikao!
 
Back
Top Bottom