BRICS confirms 159 countries will adopt new Global Payment System (GPS), effectively isolating the U.S. Dollar

After recent rumblings surfaced of how many nations would embrace the impending BRICS Pay system, the bloc has confirmed 159 participants are set to adopt the new payment system.

Indeed, the economic alliance system is poised to hit the ground running when it finally launches.

Now, all eyes are on when that launch will take place. Many have surmised that it would be announced at the highly anticipated 2024 Summit. Moreover, it would be set to go live in what would be a groundbreaking unveiling.

If that were to happen, the bloc has already noted there is a long line of entities ready to embrace it.

Earlier this year, the BRICS bloc announced the creation of a blockchain-based payment platform. It would redefine the collective’s global economic standing. Moreover, it would compete with some of the largest payment systems worldwide. That includes the Western-dominated SWIFT system.

Now, the BRICS group confirmed that 159 participants will adopt the new payment system. Indeed, Russian officials verified the number in a recent correction, according to a Yahoo report. Although previous statements rumored 160 countries would be involved, the number was clarified in subsequent reports.

The payment system is crucial to the bloc’s ongoing de-dollarization efforts. It will provide participating countries with an avenue to trade in local currencies. Therefore, it will greatly enhance how these nations settle trade; ultimately, decreasing international necessity for the U.S. greenback.

WHY THE EXODUS FROM THE DOLLAR?
Russian President Vladimir Putin yesterday, said this on the de-dollarization of the world economy: ”

The financial and political authorities of the United States are pushing this process forward with their not just careless, but unprofessional and stupid actions.

I think that they already understand that they made a mistake, but they simply cannot get out of this rut, it is probably no longer very convenient for them to admit that they made a mistake, but it would be necessary to correct something, they see that the tools they are using do not work.

We are switching to national currencies and that’s it. They (American officials) can no longer do this, apparently, only those people who will replace today’s generation of politicians can do this. To change something means to admit your mistakes. Apparently, this is difficult.”
Watu wakishiba uji wa chumvi..they talk a lot. Hakuna currency inaweza shindana na USD kwa sasa. Bado sana. Hata huyu mwandishi Naamini mfukoni na credit card zake zote ni za dollars. Wakati hajawahi kuona hata pesa yoyote ya hizo nchi za Brics.
 
Wewe huwezi kua na akili kuwashinda warusi we endelea kuangalia Hollywood movies TU.

Sawa sina but hii huyo mrusi km ana akili why kawakusanya wenzie kwa vikao aunde brics? Marekani alimuita nani apandishe dollar? Mchina mwenyewe kutwa ananunua bonds US aimarishe reserve yake ya $$$! So we kaa fikiria tu wanaume wenzio tu ndo wenye akili that means we Huna, akiongea mrusi unapiga goti na njia ya msalaba juu! Uchumi hauendi hivyo
 
🤔😌waafrika tunajidharau sana
 
,😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Aisee hii ndio Tanzania ninayoisema.
Haya bana,Kwa akili hizo endelea tu kuiponda BRICS.
 
🤔😌waafrika tunajidharau sana
Sisi Hamnazo fikiria mtu anaandika upupu kama huo eti Brics tusidanganywe hivi sisi kwanza hata biashara ni ngapi tunafanya na Europe kama sio wao wanaoiba hapa kwa kampuni zao kwenye madini ??
 
Bado una uhuru wa kuamini unachoamini bila kutukana coz Huna hatimiliki ya mawazo na ufahamu wa watu wengine, after all hili ni jukwaa huru where we dare to talk freely!
 
Watu wakishiba uji wa chumvi..they talk a lot. Hakuna currency inaweza shindana na USD kwa sasa. Bado sana. Hata huyu mwandishi Naamini mfukoni na credit card zake zote ni za dollars. Wakati hajawahi kuona hata pesa yoyote ya hizo nchi za Brics.
Upo kwenye payroll ya CIA,so ni lazima upeperushe bendera yao.Even though sijui wewe ndiye unayejiona una akili zaidi kuliko 159+ nations?Yours is wishful thinking,face reality,the Empire of Lies is on its' freefall,kama zilizoitangulia huko nyuma.
 
Crazy...you abandon $ because it monopolised world economy yet you twerk for an alternative monetary system expected to have 159+...so shifting monopolies will work?

brics is grossly assed-dumb!
Hata kama sijaelewa ila nimependa kingereza cha huyu jamaa
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Punguza kuokota story online na kuja ku paste hapa. Soma chambu, verify source
Ku-very source sio sheria ya JF,ni yako, so I won't,take it or leave it.

But your comment just indicates how much you do not like this truth, unfortunately it is truth you cannot deny.Independent minded people in the US appreciate this truth,who are you to deny it,just a mere Manzese resident!And how about the 159+ nations.You believe you know better than them?It surely can't be.
 
Umemaliza kabisa ndugu!!
Ukisoma comments za watu humu unagundua yafuatayo:
1.Tuko very negative na mambo ya maendeleo
2.Hatuna long term plan - mtu anasema et it will take 100 yrs...Sasa nani alikuambia vitu vinaibuka ndani ya miaka 5.Ndoo maana unakuta barabara moja ndani ya miaka 10 inajengwa mara mbili au barabara za mji mkuu kama DSM zinachimbuliwa upya kila kona wakati ni juzijuzi tu hapa hizo zinazochimbuliwa zilijengwa.
3.Tunataka short cut - hatutaki kuumia - vitu vya mlolongo mrefu vinavyohitaji utaalamu, subra kwa ajili ya vizazi vyetu hatutaki.
4.Tuko wabinafsi na wachoyo:Tunaangalia matumbo yetu tu..bila kujali what will happen in 100 yrs.
5.Hatuna uzalendo: Wakati watu wanawaza namna ya kuepuka neocolonialism - sisi ndo kwanza tunaponda..ooh..it will never happen, ooh US is the super power..shiit nyingi sana.
Watu wanafikiri US ilifika hapo kwa kucheza na kuwa short sighted..na kama US alifanya why not CHINA,RUSSIA, TURKEY, SOUTH AFRICA etc.???
Yaani wakati watu ulimwenguni hawalali wako busy kuangalia namna vizazi vyao vitakavyokuwa kuwa free sisi ndo kwanza tunapinga - hatutaki kuwa na chetu, tunawapigia makofi haohai ambao miaka 70 iliyopitisha wametupitisha kwenye moto tu hapo - utumwa n.k.
Hatuna utamaduni wakutiana moyo kwa vitu vizuri..ni full dissappointments tu..duuh..HAWATAWEZA, NI NGUMU..NYIE KWANI NANI ALISEMA HAYO MAMBO NI MEPESI AISEE??
Sasa sisi tutatengenez nini...payment systems - tumekubali hatuna kitu - hatuwezi na hatuna mpango, Nguo kuna wachina, Turkey, chupi zinatoka China, Magari yanatoka Jaoan, Ulaya na kwa hizo comments it means hatuwezi kucompete kwa chochote sababu ulimwenguni huko watu wako mbele yetu kwa kila kitu...
Na ndo maana watu wanaiba pesa Afrika wanapeleka Ulaya....
Kizazi cha leo kina watu wajinga wengi sana ndugu. KAMA Ulivyosema kwa usahihi zaidi kwamba watu hawaamini kama tunaweza kufanya mambo ya maana na hii ni mpaka viongozi wa nchi hii.
 
Umemaliza kabisa ndugu!!
Ukisoma comments za watu humu unagundua yafuatayo:
1.Tuko very negative na mambo ya maendeleo
2.Hatuna long term plan - mtu anasema et it will take 100 yrs...Sasa nani alikuambia vitu vinaibuka ndani ya miaka 5.Ndoo maana unakuta barabara moja ndani ya miaka 10 inajengwa mara mbili au barabara za mji mkuu kama DSM zinachimbuliwa upya kila kona wakati ni juzijuzi tu hapa hizo zinazochimbuliwa zilijengwa.
3.Tunataka short cut - hatutaki kuumia - vitu vya mlolongo mrefu vinavyohitaji utaalamu, subra kwa ajili ya vizazi vyetu hatutaki.
4.Tuko wabinafsi na wachoyo:Tunaangalia matumbo yetu tu..bila kujali what will happen in 100 yrs.
5.Hatuna uzalendo: Wakati watu wanawaza namna ya kuepuka neocolonialism - sisi ndo kwanza tunaponda..ooh..it will never happen, ooh US is the super power..shiit nyingi sana.
Watu wanafikiri US ilifika hapo kwa kucheza na kuwa short sighted..na kama US alifanya why not CHINA,RUSSIA, TURKEY, SOUTH AFRICA etc.???
Yaani wakati watu ulimwenguni hawalali wako busy kuangalia namna vizazi vyao vitakavyokuwa kuwa free sisi ndo kwanza tunapinga - hatutaki kuwa na chetu, tunawapigia makofi haohai ambao miaka 70 iliyopitisha wametupitisha kwenye moto tu hapo - utumwa n.k.
Hatuna utamaduni wakutiana moyo kwa vitu vizuri..ni full dissappointments tu..duuh..HAWATAWEZA, NI NGUMU..NYIE KWANI NANI ALISEMA HAYO MAMBO NI MEPESI AISEE??
Sasa sisi tutatengenez nini...payment systems - tumekubali hatuna kitu - hatuwezi na hatuna mpango, Nguo kuna wachina, Turkey, chupi zinatoka China, Magari yanatoka Jaoan, Ulaya na kwa hizo comments it means hatuwezi kucompete kwa chochote sababu ulimwenguni huko watu wako mbele yetu kwa kila kitu...
Na ndo maana watu wanaiba pesa Afrika wanapeleka Ulaya....
Tuna mahaba sana na nchi za mavharibi hasa USA tunapaita mamtoni na hatutaki mambo ya ya haribike
 
Sawa sina but hii huyo mrusi km ana akili why kawakusanya wenzie kwa vikao aunde brics? Marekani alimuita nani apandishe dollar? Mchina mwenyewe kutwa ananunua bonds US aimarishe reserve yake ya $$$! So we kaa fikiria tu wanaume wenzio tu ndo wenye akili that means we Huna, akiongea mrusi unapiga goti na njia ya msalaba juu! Uchumi hauendi hivyo
Kwa shudu hizi ndo maana CCM atazidi sana kutatawala kwa kweli
 
Ninefuatilia comments hapa, watu wanafikiri mambo ya fedha unajibu kama ushabiki wa Simba na Yanga.

Kama wee sio mtaalamu wa uchumi na fedha, mambo biashara za kimataifa na mifumo ya malipo ya nje huwezi kutoa maoni ya maana utaishia kusema BRICS utakufa, sijui vinchi vidogo n.k.

Kwa nchi 12 ambao ni wanachama wa BRICS uchumi wao ni zaidi ya G7 maana yake wananguvu zaidi ya hizo kubwa unazozijua.

Nchi hizo zinafanywa biashara yenye thamani zaidi ya 33 trillion Dollars.

Hivyo ukijimlisha nchi 145+ unasema hakuta kuwa na mabadoliko?

Nchi za Ulaya mashariki zote na Asia america ya kusini na Africa zinaweza kuwekewa vikwazi na US kwa sababu ya Dollar hivyo wanaona BRICS ni mbadala.

Lakini hii inaenda kutoa shida ya kudondoka kwa thamani ya sarafu zetu na kuwa na njia mbadala wa Dollar.

Kuanzishwa kwa mfumo mbadala haimaanishi dollar haitakiwi Bali ni mbadala. Ila kwa hali ilivyo Sasa chi nyingi zitahama kwenye dollars (due to dollar weaponization).
 
Ku-very source sio sheria ya JF,ni yako, so I won't,take it or leave it.

But your comment just indicates how much you do not like this truth, unfortunately it is truth you cannot deny.Independent minded people in the US appreciate this truth,who are you to deny it,just a mere Manzese resident!And how about the 159+ nations.You believe you know better than them?It surely can't be.
Hutaki ku verfiy source halaf unaita truth, cut the crap and get straight
Am not jf, simply want to know what is your source? Else umejiandika normal story line
 
Wanapiga hatua nzuri ila bado wana kazi ya ziada ya kuiangusha $. Binafsi nionavyo ugumu upo sehemu moja, nchi zina madeni yaliyothaminishwa kwa $ sasa wanahitaji $ kuyalipa, unaiangushaje $ na unaihitaji?
 
Kazi sio kubwa sana kama navyoona maana kama factory of world China atakuwa imara atakayetafuta dollar ni kwa faida yake ila mimi mfanya
Biashara ntatafuta pesa ya kuweza kulipia bidhaa zangu
 
  • Thanks

Ok, ila China is one of the United States's largest creditors $859.4 billion in U.S, unadhani mkataba wa hili deni unasema malipo yake yatafanywa kwa mfumo upi?
 
Kwani atavunja mkataba si atalipa tu
 
Back
Top Bottom