Brian Acton na Zuckerberg wanastahili Peace Noble!

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,706
Kutokana na uvumbuzi wao kwa mitandao ya Whatsapp na Facebook dunia imekuwa mahali salama kwa kiasi kikubwa,endapo uliwahi kutumia mitandao hii basi ujijue uko uchi kabisa na ni busara kujiweka mbali na uhalifu wa namna yeyote.
Taarifa nilizonazo ni kwamba Facebook wamekamilisha mradi wao na CIA katika maswala ya usalama na hivyo kuufanya ulimwrngu kuwa mahali salama,wadau mnasemaje?
 
Hivyo vichwa ni hatari sana..
 
Binadamu hafugiki. Huwezi mlinda binadamu na ukafanikiwa 100% na technology kuu ya kumlinda mwanadamu ni mwanadamu mwenyewe.

Ukiangalia movies uwezo wa intelligence agencies kama CIA, FBI nk huwa unaonyeshwa kama hauna kikomo na hamna washindwacho ila reality ni tofauti kabisa mambo kibao wanasanda. Waharifu wana evolve sambamba na technology

Kwa wasio waharifu kama mimi sina cha kuhofia hata wakijua kila kitu changu as long as hawatoi info zangu kwa halaiki unless otherwise necessary
 
Back
Top Bottom