Bright eyes
JF-Expert Member
- Dec 7, 2021
- 205
- 272
Hivi unakisoma unakiandika ? Kina click kichwani ?Hata wale wasio na master tayari wapo wenye kampuni, hivyo kuwa na kampuni sio kwa sababu ya kuwa master ya BBA ingekuwa hivyo kampuni zingekuwa nyingi sana maana wenye BBA ni wengi sana.
Unatoka master unarudi VETA nyie acheni utani ! Ipo siku tutaona mtu ana Phd yupo veta halafu akashangiliwa na watu wa JF!
Tumieni muda vizuri.
Hakikisha unaelimika vizuri ukiwa chuoni.
Hakikisha unatumia elimu yako vuzuri kubuni kazi.
Soma vocational skill muda wa likizo kama huna hela ya chuo nenda workshop ujifunze kwa vitendo kila likizo.
Chagua masomo vizuri ili usije rudia hatua nyuma.
Acheni kusoma kwa mihemko.
Tumieni career developer/ phychologist / mentor/ gurus/ Teachers/ ndugu kuwapa muongozo mzuri.
Tumieni mitandao vixuri kupata mwongozo sio kujifnya unajua nwishowe unakosea.
Kuna baadhi ya vijana wanaitumulia mitandao vizuri maana huuliza na kuomba ushauri kabka hawajasoma au kabla ya kwenda master hivyo wengine muige.
Sasa alieamua kusoma vocational Wakati wa likizo akiwa chuo na alieamua Kumaliza chuo akaenda hiyo vocational ..Wana utofauti gani Sasa ?
Yani wewe shida yako ni kwamba kwanini karudi kusoma veta wakati ana Masters haha . Kwamfano angeamua kufundishwa na fundi seremala nyumbani ...bado ungekompleini ?
Mbona hushangai ana Masters alafu anapika chakula au anafanya usafi ....kupika na housekeeping ni vocational piaa. Ukiona mtu kaenda kusomea hizo ni ili uwe kiprofesional zaidi