BRELA zaidi ya uijuavyo

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ni Taasisi ya serikali muhimu sana katika uchumi wa nchi hii kutokana na majukumu uliyo nayo sahihi na yatakayo ongeza baadaye. Kwa umuhimu wake kwa Taifa, katika hili hakuna mtu yeyote anayeweza kupinga hili popote duniani.

Pamoja na matatizo ya kiutendaji ya Taasisi hii kwa wateja wake wa nje; uchunguzi uliyofanyika kuanzia mwaka 2019 umegundua kuwa ndani ya taasisi hiyo kuna sumu imeingia ambayo ni hatari sana kwa utendaji wa kazi na baadhi ya wafanyakazi wameathirika na sumu hiyo. Imegundulika ndani ya BRELA kwa hivi sasa kuna makundi mawili hatari sana katika utendaji kazi; kitu cha ajabu taasisi inaendeshwa kwa kutumia scheme of service mbili.

Na sumu hiyo imepelekea wafanyakazi wa zamani kutothaminiwa kwenye mishahara, posho na marupurupu mengine kubakia vile vile pamoja na Utumishi kubariki matumizi ya scheme of service mpya ambapo waajiriwa wapya wameingia mwaka jana na mishahara ambayo inawazidi wa zamani kiasi cha Tshs.400,000 hadi 500,000/=, per diem 15,000 hadi 20,000/= na extra duty 15,000/= hadi 20,000/= halafu huyo huyo aliyezidiwa hela zote hizo na mwajiriwa mgeni kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma unakuta ana sifa hadi ya ziada kwa maana ya uzoefu kazi na huyo huyo ndiye anaye mfundisha kazi mgeni au mhamiaji; kosa lilofanyika awali ni kutangaza ajira kwa kutumia scheme of service mpya kabla haijaanza kutumiwa kwa wafanyakazi wa zamani.

Japo baadhi member wa management timu ambao wengi wao wamehamishwa alitaka kufanya harmonization ili kusitokea ujinga huo wa watoto kuwa dharau wazazi lakini halikufanikiwa kutokana na ujio wa Afisa mtendaji mkuu mpya ambaye alianza na hamisha hamisha za hapa na pale kwa baadhi ya wafanyakazi wa zamani.

Nilitegemea ujio wa boss mpya angeanza na kuzuia ujio wa wafanyakazi wapya kwa kuhakikisha waliokuwepo wanaanza kutumia scheme of service mpya halafu ndiyo ikishakaa sawa ndiyo aruhusu ujio mpya na kuhamisha wanaostahili kuhamishwa.

Katika taasisi yeyote ile duniani rasimali ya kwanza inayotakiwa kuheshima ni wafanyakazi kwa kujali maslahi yao kwa mujibu wa sifa walizo nazo na sheria zinazohusika pia. Afisa mtendaji Mkuu kwenye hili hadi hivi sasa kakosea big time, maafisa rasimali watu, mwenyekiti na katibu wa chama cha wafanyakazi pamoja na kukatwa michangano chama kimeonyesha udhaifu mkubwa sana wakuto watetea wafanyakazi waaliothirika na ubaguzi huu mbaya katika mazingira ya kazi.

Kuna Afisa rasilimali watu ambaye amehamishiwa hapo kutoka halmashauri badala ya kutetea hili japo lisiwepo yeye akaamua kukandamizia kwa kupata na waraka ambao ni wa zamani uliyotoka utumishi na kusisitiza ndiyo utumike kuomba na kulipa masurufu ya wafanyakazi wakati tawala zilizopita hazikuafata huo kwa sababu za msingi taasisi kwa ajili ya afya ya taasisi na wafanyakazi kwa ujumla na Utumishi hawakupinga hilo, mtu kama huyu ni tatizo kwa taasisi iweje kama msomi unafanya maamuzi bila assessment na reasoning kwanini hili halikutekelezwa wakati huo na sababu nini na kwanini iwe sasa.

Kwa kukosekana positive motivation, kunyima haki yako, kudharaulika na wanaokuzunguka pamoja na udhaifu wa mifumo inatosha kuwa ni sababu za utendaji kazi katika taasisi hii muhimu kwa nchi yetu.

Wa kwanza kulaumiwa kwa dhuluma hii ni Afisa mtendaji mkuu, maafisa rasimali watu, management ya BRELA na uongozi wa chama cha wafanyakazi tawi la BRELA. Kwa hili, naushauri Serikali iingilie kati kwa kufanya uchunguzi wa kina na kila mtu alipwe anachostahili kwa maana ya positive or negative reward.

Wakuu wangu, naomba kuwasilisha uchunguzi wa awali wa hii taasisi muhimu kwetu sote.
 
Attachments

  • Stahiki zao.pdf
    64.5 KB · Views: 6
Hao mbwa koko waangalie namna ya kuishi na hizo sumu zao ;sio kukwamisha kazi za watu ambaonwanakuja kuwekeza
 
Sawa, ila mifumo ya kusajili hizi biashara, NGO kuna changamoto kinoma kuna NGO tulitaka kusajili tukaambiwa tuende brela, brela wakatuambia wao hawahusiki twende kwa mwanasheria sijui wakili wa serikali kwenda kwake akasema turudi Dodoma Wizara ya afya, wizara ya afya wakasema twende wizara ya mambo ya ndani mambo ya ndani wanasema twende wizara ya kilimo maana tulikuwa tunajihusisha na kilimo tulizunguka mpaka ikabidi jamaa waahirishe wakakimbilia zao Kenya wee.
 
Dah hujakosea kabisa unajua suala sio changamoto... changamoto zipo kila sehem ila usumbufu

Usumbufu ni mkubwa Sana kwenye hizi taasisi ni kama hawana connection na Mambo wanayofanya

Ukienda huku unaambiwa nenda kule ukifika kule wanakwambia sio hapa nu kule ukienda kule Mara utaambiwa hapana sio hapa

Yaani ni usumbufu mpaka unachoka wajiangalie upya

Sent from my TECNO KD6a using JamiiForums mobile app
 
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ni Taasisi ya serikali muhimu sana katika uchumi wa nchi hii kutokana na majukumu uliyo nayo sahihi na yatakayo ongeza baadaye. Kwa umuhimu wake kwa Taifa, katika hili hakuna mtu yeyote anayeweza kupinga hili popote duniani.

Pamoja na matatizo ya kiutendaji ya Taasisi hii kwa wateja wake wa nje; uchunguzi uliyofanyika kuanzia mwaka 2019 umegundua kuwa ndani ya taasisi hiyo kuna sumu imeingia ambayo ni hatari sana kwa utendaji wa kazi na baadhi ya wafanyakazi wameathirika na sumu hiyo. Imegundulika ndani ya BRELA kwa hivi sasa kuna makundi mawili hatari sana katika utendaji kazi; kitu cha ajabu taasisi inaendeshwa kwa kutumia scheme of service mbili.

Na sumu hiyo imepelekea wafanyakazi wa zamani kutothaminiwa kwenye mishahara, posho na marupurupu mengine kubakia vile vile pamoja na Utumishi kubariki matumizi ya scheme of service mpya ambapo waajiriwa wapya wameingia mwaka jana na mishahara ambayo inawazidi wa zamani kiasi cha Tshs.400,000 hadi 500,000/=, per diem 15,000 hadi 20,000/= na extra duty 15,000/= hadi 20,000/= halafu huyo huyo aliyezidiwa hela zote hizo na mwajiriwa mgeni kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma unakuta ana sifa hadi ya ziada kwa maana ya uzoefu kazi na huyo huyo ndiye anaye mfundisha kazi mgeni au mhamiaji; kosa lilofanyika awali ni kutangaza ajira kwa kutumia scheme of service mpya kabla haijaanza kutumiwa kwa wafanyakazi wa zamani.

Japo baadhi member wa management timu ambao wengi wao wamehamishwa alitaka kufanya harmonization ili kusitokea ujinga huo wa watoto kuwa dharau wazazi lakini halikufanikiwa kutokana na ujio wa Afisa mtendaji mkuu mpya ambaye alianza na hamisha hamisha za hapa na pale kwa baadhi ya wafanyakazi wa zamani.

Nilitegemea ujio wa boss mpya angeanza na kuzuia ujio wa wafanyakazi wapya kwa kuhakikisha waliokuwepo wanaanza kutumia scheme of service mpya halafu ndiyo ikishakaa sawa ndiyo aruhusu ujio mpya na kuhamisha wanaostahili kuhamishwa.

Katika taasisi yeyote ile duniani rasimali ya kwanza inayotakiwa kuheshima ni wafanyakazi kwa kujali maslahi yao kwa mujibu wa sifa walizo nazo na sheria zinazohusika pia. Afisa mtendaji Mkuu kwenye hili hadi hivi sasa kakosea big time, maafisa rasimali watu, mwenyekiti na katibu wa chama cha wafanyakazi pamoja na kukatwa michangano chama kimeonyesha udhaifu mkubwa sana wakuto watetea wafanyakazi waaliothirika na ubaguzi huu mbaya katika mazingira ya kazi.

Kuna Afisa rasilimali watu ambaye amehamishiwa hapo kutoka halmashauri badala ya kutetea hili japo lisiwepo yeye akaamua kukandamizia kwa kupata na waraka ambao ni wa zamani uliyotoka utumishi na kusisitiza ndiyo utumike kuomba na kulipa masurufu ya wafanyakazi wakati tawala zilizopita hazikuafata huo kwa sababu za msingi taasisi kwa ajili ya afya ya taasisi na wafanyakazi kwa ujumla na Utumishi hawakupinga hilo, mtu kama huyu ni tatizo kwa taasisi iweje kama msomi unafanya maamuzi bila assessment na reasoning kwanini hili halikutekelezwa wakati huo na sababu nini na kwanini iwe sasa.

Kwa kukosekana positive motivation, kunyima haki yako, kudharaulika na wanaokuzunguka pamoja na udhaifu wa mifumo inatosha kuwa ni sababu za utendaji kazi katika taasisi hii muhimu kwa nchi yetu.

Wa kwanza kulaumiwa kwa dhuluma hii ni Afisa mtendaji mkuu, maafisa rasimali watu, management ya BRELA na uongozi wa chama cha wafanyakazi tawi la BRELA. Kwa hili, naushauri Serikali iingilie kati kwa kufanya uchunguzi wa kina na kila mtu alipwe anachostahili kwa maana ya positive or negative reward.

Wakuu wangu, naomba kuwasilisha uchunguzi wa awali wa hii taasisi muhimu kwetu sote.
Mnatukwamisha Sana hebu brela mjikague upya

Sent from my TECNO KD6a using JamiiForums mobile app
 
Dah hujakosea kabisa unajua suala sio changamoto... changamoto zipo kila sehem ila usumbufu

Usumbufu ni mkubwa Sana kwenye hizi taasisi ni kama hawana connection na Mambo wanayofanya

Ukienda huku unaambiwa nenda kule ukifika kule wanakwambia sio hapa nu kule ukienda kule Mara utaambiwa hapana sio hapa

Yaani ni usumbufu mpaka unachoka wajiangalie upya

Sent from my TECNO KD6a using JamiiForums mobile app
Mwishowe kutokana na usumbufu huo ajira zinakimbilia nchi jirani.
 
Back
Top Bottom