Syston
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 243
- 354
Guys nani amewahi sajiri jina la biashara Brela kwa huu mfumo wa online? anisaidie maana nimekwama kipengere cha kujaza majina na jinsia, niki hover mouse inaniletea haka ka alama đźš«, sasa nashindwa kujazahizo sehemu. Hii imekaaje au ndo mtaalamu wa IT brela anajitolea.