Siku ya jmoc niliupdate information za business name (mwanzo ilifanyika manually). Leo nimetumiwa taarifa ya kudaiwa 115,000/= km maintainance fee na hiyo ni since 1996. Hii inamaanisha kwa mwaka ni 5,000/= (its true, current price). Nimewapigia simu kujua km tangu 1996 charge ilikuwa ni hiyo hiyo wakanijibu ndio ilikuwa ni hiyo hiyo. Nashindwa kuwaamini hawa jamaa, maana sio rahisi kwa mwaka 1996 fee ikawa ni hiyo 5,000/= mpka leo. Hapa kuna namna.