BRELA inakimbiza wawekezaji

Utakua unawaongelea wale kina Lord waliotupostia picha hapa wakati wa kupiga kuru wakatuonyesha kadi ya CCM na pembeni kura kwa Tundu
Mkuu nimetumia Fasihi hapa, namaanisha the opposite .πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kosa kubwa brela walilolifanya ni kufuta utaratibu wa zamani wa kuomba leseni wakati hawajajua ubora wa mfumo mpya, hata nchi za wenzetu hawaondoi mfumo wa zamani ghafla wanapoleta mfumo mpya, wanaweka kipindi cha mpito kama miaka 2 ambacho mifumo yote miwili utumika. Niliona maelezo yaliyotolewa na Brela kusema ukweli hayajitoshelezi, wanachotakiwa kufanya ni kurejesha mifumo wa zamani wakati wao wakimaliza matatizo yao ya ndani.
 
Happy jamaa Wana maudhi mno. Jina la biashara linachukua miezi zadi ya 4. Daily marekebisho.
 
Brela ni shidaaaa
Namba kwa wateja Ni landline ukiwapigia wanakujibu wanavyojisikia. Uki-lodge application wastani wa siku 5 ndo utajibiwa Correction/Add information mpaka mwaka uishe. Hapo umeshalipia kitambo hela ipo kwao. Wao wanachekelea kwenye keyboard tu
 
Watumishi na agency za nchi hii Kazi yao sio facilitator bali wadhibiti na ukomoaji
 
Wanaudhi sana hawa jamaa.

Kule ndani wanao review kazi yako baada ya kusbmit wanabadilika badilika kila siku. So kila anayekuja anapick kosa lake.

Ila nadhani ndo maana vishoka hawaishi, kwa sababu ukiwatumia vishoka wao wako uptodate na nini kinatakiwa na brela. Wana templates, na pia wana watu wao ndani wanawapigia simu kazi yako inawahi.

Hata wewe wakishakukosa kosoa mara ya kwanza, unakuwa na template ya kufuata, next time hutopata usumbufu sana.
 
Mama D, umesahau kuzitaja NEMC,TBS,TFDA, SASA CHA KUNIFURAHISHA TANZANIA,OFISI ZOTE ZA SERIKALI SIMU ZA LAND LINE HAZIPO,KAMA ZIPO ZIMEFUGWA ZINADAIWA SASA MWEKEZAJI AKIPIGA SIMU LAND LINE HAIPATOKANI MEANS OFISI ZOTE MUHIMU ZIKO MIFUKONI AU NYUMBANI KWA WATU ( MOBILE PHONE) NA HIZI SIMU ZA MOBILE ZINAFANYA PIA INVESTORS KUTOROSHWA NA WAKUU WA HIZO TAASISI BAADA YA KUINGIA NCHINI
 

Waziri wa Biashara prof. so and so yupo tu hana hili wala lile. Juzi alkuwa bandarini busy kupokea mafuta ya kula toka India (Tunalima alizeti kibao nchini) kaacha Brela ijifie wakati ndiyo roho ya uwekezaji (ajira, kodi, bidhaa, masoko etc). Haka kanchi kanakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpka basi yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani.
 

Wewe acha kabisa, ukimalizana na hao unakuja kukutana DAWASCO, TANESCO, OSHA......
Lazma wakukereeee
 
Hii ni aina ile ya kusema mhusika awaone wa husika,na iwapo anayehitaji huduma hapendi ujinga wakuzungushwa na watengeneza mazingira ya rushwa/percent basi huyo anaweza kuahirisha dhamira yake ya uwekezaji,hiyo haipo tu Brela na kwingineko kunakotoa huduma za msingi za kijamii yapo,mfano nimeibiwa natoa taarifa kunako husika,katika hali ya kawaida iwapo nimeibiwa,jukumu ni kuripoti na kupewa namba ya taarifa na ufuatiliaji,nijuavyo jukumu baada ya hapo ni la wahusika kwakuwa wanalipwa kwa kazi hiyo,ila cha ajabu usishangae ukitakiwa kugharamia huduma hiyo katika hatua mbalimbali,hata inafika mahali unaona huu itakuwa hasara na uhakika wa kuipata huduma bora,na mali iliyopotea haupo,mwisho unafikiri ni bora kupata hasara ya kuibiwa na sii hasara zinazofuatia baada ya kuibiwaπŸ€”
 
Hii ndio changamoto ya kuweka watu wasio na weledi kwenye vitengo vya serikali. Wanaona kama unawasumbua pale unapokuwa una wawajibisha kutimiza majukumu yao ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…