Mbeky JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 672 Reaction score 520 Feb 7, 2014 #1 Wadau habari za wakati huu. Nahitaji kununua mbwa lakini ningependelea awe kati ya moja wapo wa hizi breed - Pit bull - Rottweiler - Presa Canario Ntafurahi kama ntasaidiwa kujua mtu au kitengo ambacho naweza wapata..
Wadau habari za wakati huu. Nahitaji kununua mbwa lakini ningependelea awe kati ya moja wapo wa hizi breed - Pit bull - Rottweiler - Presa Canario Ntafurahi kama ntasaidiwa kujua mtu au kitengo ambacho naweza wapata..