Breathtaking Kinetic Typography Video

Breathtaking Kinetic Typography Video

Adobe After Effect

Senior Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
144
Reaction score
75
kwa wale wadau wenzangu ambao tunajifunza motion graphics,video editing and 3D modeling,nawakaribisha kuitazama kinetic typography music video toka ktk mashahiri ya nyimbo ya mwana hiphop mahiri Fid Q ,ifahamikayo kama bongo hiphop.

software nilizo tumia:adobe after effect and adobe illustrator
mda niliotumia:siku mbili
layers zilizotumika :176 layers (excluding pre composed layers)
effect nilizo tumia:sijatumia effects za aina yoyote zaidi ya key frame animation and motion blur.
fonts zilizotumika.sizikumbuki majina ila ni zaidi ya aina 4-5 ya fonts.

nakaribisha maswali,maoni na ushauri.

karibuni wakuu.
layers

layers.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nimekuongezea viewers na like yangu support tosha.
 
Kamanda we noma sana aisee, yaaani ni video kali sana. Hebu tafadhali naomba uniambie kwa lugha nyepesi pre compose ni mini , na nini faida take.
 
Kamanda we noma sana aisee, yaaani ni video kali sana. Hebu tafadhali naomba uniambie kwa lugha nyepesi pre compose ni mini , na nini faida take.

hahahah lukansola najua unajua ila tu umeamua kuuliza ili jibu liweze kutoa maarifa kwa mtu mwenye nia ya kujifunza AE.

pre composed layer ndani AE ni nini.
kwa uelewa wangu mdogo,pre composed layer ni muunganiko wa layer zaidi moja ktk composition moja.ni jina tu lipo tofauti, lakini kwa watumiaji wa PS na illustrator,hufahamika kama "grouping",kwa watumiaji wa premiere pro hufahamika kama "nesting",kwa watumiaji wa sony vegas na final cut hufahamika kama pre render.
kama sipo sahihi,mwengine anaweza fafanua zaidi.
 
Asante mzee Adobe After Effects, unajua nilikuwa naionea uvivu hii pre comp, labda na jina nalo lilikuwa linaniogopesha. ila sasa nimegundua pre-comps ni bomba sana, kwanza zinarahishisha kazi kwa kupunguza complications kwenye composition moja, pia ukisha pre compose layers na kuziweka kwenye composition nyingine unapofanya marekebisho kwenye original layers basi na huku ulikoituma ina update automaticall, nimejifunza kitu kipya halafu kizuri.

Je nimeeleza vizuri mzee Adobe?
 
yaani umeeleza vizuri sana mkuu.pre comp layer inarahisha sana utenda kazi ndani AE.yaani hata kama layer zipo 20+, ukizi-compose itakulahishia sana mtiririko wako wa kazi.
 
Nina swali lingine, hivi nawezaje kukopi effects zote pamoja na keyframes kutoka kwenye footage moja kwenda nyingine, nimefanya composition sasa nataka effects zote zijirudie kwenye footage zinazofuata.

Asanteni...
 
Nimeangalia tena hiyo project yako ya na fid q ni balaa mkuu Adobe After Effects
 
ni rahisi sana mkuu.

window:una highlight effect kwa kui-click ktk composition,halafu unaenda edit>>copy then unarudi ktk composition ambayo unataka ku-paste effect yako.una highlight layer,unaenda tena edit>>paste.

command:una highlight effect kwa kui-click ktk composition.halafu Ctrl+C(copy) then unarudi ktk composition ambayo unataka ku-paste effect yako.una highlight layer,halafu Ctrl+V(paste)

utaratibu ni huo huo hata kama unatumia Mac OS computer.
 
Nimeangalia tena hiyo project yako ya na fid q ni balaa mkuu Adobe After Effects

nashukuru kwa pongezi mkuu,hata hivyo bado najiona nina safari ndefu ktk motion graphics/kinetic typography.nahitaji kuongeza bidii ya kujifunza zaidi toka kwa wengine.

ukipata wasaa,itazame hii.imetengenezwa chalii mmoja mzungu wa kuitwa sebastian appel.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom