Breakup anthem?

Breakup anthem?

....baby I won't shed a tear for you, I can have one of you by tomorrow don't you ever think you....

'Irreplaceable'
 


Jana mishale ya jioni nilienda kwenye bike trail kunyoosha miguu na kupunga upepo.

Wakati natembea nikamkuta mdada mmoja amekaa kwenye benchi huku akionekana ana simanzi.

Mkononi alikuwa kashikilia iPod na alikuwa akiangalia video, music video to be precise.

Nikasimama nakumsalimia naye akaitikia salamu yangu kwa sauti ya upole.

Ndo nikamwuliza kulikoni....naye akanijibu kwa kunambia ni hadithi ndefu.

Nikamwuliza anaangalia music video gani, naye akanijibu akanambia 'I bet' ya Ciara.

Akaendelea kunambia kuwa anaupenda sana huo wimbo kwani unampa faraja kila ausikiapo kwa sababu ni kama vile aliandikiwa yeye na kwamba anautumia kwa sasa kuweza kuvuka kipindi cha mpito (kuhusu uhusiano wake uliovunjika) alichonacho.

Nami nikamwuliza je, hiyo ndo breakup anthem ya akina dada kwa wakati huu? Akajibu kwa bashasha na kusema 'ndiyo'.

Na nyie wadada wa humu huwa mna breakup anthems zenu? Kama mnazo, ni zipi?

*But I must say this though, me being me I think Ciara's mammaries look scrumptious. They look like they've been done but who the hell cares? I for sure don't.*


Binafsi wimbo wa
Do you remember wa Phil Collins, Huu ni number one

Pia Do wanna try wa frank J.

....Sadly sijawahi pitia breakup...

Nahisi ikitokea nitabadili wimbo itakuwa; how do I live - Mario
 
Last edited by a moderator:
Are you the one who walks with earphone dear?
 




Nami nikamwuliza je, hiyo ndo breakup anthem ya akina dada kwa wakati huu? Akajibu kwa bashasha na kusema 'ndiyo'.

Na nyie wadada wa humu huwa mna breakup anthems zenu? Kama mnazo, ni zipi?


Aisee personally I had a lot of them ila this one would have been the best especially the chorus!! Maana it's exactly how he feels right now...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom