Breaking nyuzi;ceo mpya atcl -mr chizi

AIR TANZANIA COMPANY LIMITED​
_____________________________________________________________________________________________

STAFF NOTICE NO.2 TO: ALL STAFF
__________________________________________________________________

STAFF CIRCULAR NOTICEACTING MANAGING DIRECTOR AND CEO​
The Minister for Transport Hon. Omar R. Nundu (MP) has appointed Mr. Paul T. Chizi to act on the position of Chief Executive Officer with effect from 11[SUP]th[/SUP] August 2011. Until the process of appointing or approve the new CEO is finalised, your cooperation will be highly appreciated.



ISSUED BY : MANAGER HUMAN RESOURCES
DATE: 12[SUP]th[/SUP] AUGUST, 2011
__________________________________________________________________

c.c. All Departments/Division/Section Heads
 
Paul Chizi?


I knew it! Hongera sana baba Misana.
 

hii aitaisha inakukumbusha na wewe ulipo iba vizuri uweke rekodi watakukumbuka hata uda
kazi kwako!!!!!!!1
 
Sasa tunalalamika na nundu nae atapitishia wapi hela kama epa awajakamatwa kwa nini na yeye asiweke mtu wa kupitishia faranga zake kila la kheri mwaya iila wakumbuke na wafanyakazi...ukitaka kula vizuri mzee kula na kipofu hilo wazo utanaikumbuka vizuri na mabaya yote wanayosema yatafutika ...kila mwenye pumzi na ale vizuri
 
Kwani ATCL inajishughulisha na biashara gani mpaka ateuliwe acting Director? nauliza tu.
 
Mh,kwani tuna ndge?kaz yake itakuwa ni kusimamia kiwanjaaa?

Kiwanja si cha kwao, kiko chini ya Tanzania Airports Authority (TAA). May be kazi yake itakuwa kukusanya pango la vyumba viwili vinavyotumika vya gofu lao lile pale town. Halafu hivi kwanini nafasi kama hizi bdo zinakuwa za kuteuliwa? Kwanini zisiwe zinatangazwa then watu wancompete kwe interviews? Ndio maana tunaendelea kuchemsha kila kona.
 

mtake radhi mhmattaka gofu eeeehhhhh ushawahi kuona mataka analiachia gofu kaangalie tena ama kama umeshatuchania passport yetu muulize mtu mama jenerali mwamuyange ameweka saloon ya kufa mtu na sasa ameweka sehemu ya kulia chakula
kazi tuko kikazi zaidi..
 
Hivi sheria inasemaje? Mtu anaweza teuliwa kukaimu nafasi toka nje ya shirika? Ninavyofahamu mtu wa kukaimu hiyo nafasi anapaswa toka ndani ya ATCL. Kama waziri Nundu anataka huyo jamaa awe ceo,amshauri rais amteue rasmi.
 
Hivi sheria inasemaje? Mtu anaweza teuliwa kukaimu nafasi toka nje ya shirika? Ninavyofahamu mtu wa kukaimu hiyo nafasi anapaswa toka ndani ya ATCL. Kama waziri Nundu anataka huyo jamaa awe ceo,amshauri rais amteue rasmi.

Jamaa ni mshikaji wake wa long time alikuwa benchi sasa kaamua kumpa ulaji yaani kama JK Alivyompa ishu David mattako
 
Kwa hiyo Nundu kavunja taratibu za kukaimu ofisi kampatia rafiki yake ulaji. Mwanzo alipoteuliwa,licha ya kuwa na mashaka juu ya uwezo wake kuongoza hiyo wizara,lakini nilikua matumaini kwamba anatatusaidia kuifufua ATCL kutokana na uzoefu wake ktk sekta ya mawasiliano ya anga. Sasa anafanya madudu kama wana magamba wenzake.
 
hivi hata kiwanja mnacho kweli...mi huwa nalinganisha na vituo vidogo vya polisi

Kweli atuna kiwanja kwani hata kujua ukifika mzigo wako utaupata kwenye cargo belt ipi ujui unaishia kuuliza huyu na yule .yaani dar airport inabore mbaya.
 

Duh! Ndugu yangu umenifurahisha sana! Yani alikuwa analipwa mshahara kwa ajili ya KUBADILI NEMBO tu? Kazi kweli kweli. Alijisifia mwenyewe au alisifiwa? Kasoma kweli huyo Mataka mwenyewe?? Ana PHD au? Sasa huyu Chizi kama alishindwa Community ambayo ilikuwa ina Run na akaiuwa hii iliyokufa sio ndio kaja Izika kabisa au ndio Mambo ya Lazaro na Jesus?
 

Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Wakurugenzi wa mashirika ya Umma na wenyeviti wa Bodi wanateuliwana Rais na sio waziri.

Waziri kazi yake ni kuteua wajumbe wa Bodi. Sasa iweje waziri kamteua Mkurugenzi mkuu wa ATCL?

Naomba ubadilishe hapo au uteuzi huo utakuwa batili, umekiuka katiba ya nchi
 
Hivi unajuwa maana ya neno kaimu?
 

mkuu badru isome vizuri urudi tena ni wazir kateua kaimu...ila maana ya kaimusijajua na je atc ilipo inaitaji kaimu???
 

So this is perpetuation of inefficient!!
 

kumbe tuna rais? i didnt know
 
hongera jamani muanze na kufufua safari za nje hasa khartoum - dar kuna watalii wengi sana wanaishia kenya kwa ajili ya kq
 
hongera jamani muanze na kufufua safari za nje hasa khartoum - dar kuna watalii wengi sana wanaishia kenya kwa ajili ya kq

waanze na KIRARACHA DAR HAPO WAMECHEZA WASIWASAHAU WAKINA MAPUNDA,MBIGILI,MAMBU NA WENGINEO WATAKAOWEZA KUWAFIKIA
KAMA WAKINA MWAKYUSA ,MWAKAFYALE,,,MWAKAPUGI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…