kwa wale waliokuwa wanaijua atcl enzi hizo habari zilizopatikana wizarani na a kuthibitishwa na baadhi
ya wahusika wa wizara zinasema mh omar nundu amemteua mr chizi mfanyakazi aliekuwa airtanzania enzi hizo
habari zaidi zinasema baada ya kuangalia utashi na uadilifu wake pamoja na kufanya kazi kwa juhudi mh
waziri ameona mh chizi anafaa kuiongoza kampuni hii kama mzawa wapili baada ya aliewkwa mwanzo kuishia kutengenezza nembo ya kampuni ambayo ilimpatia kashfa kubwa..ipi kashfa hii ya nenmbo ilipelekea kufukuzwa aama kukimbia kwa
commercial manager wa atcl enzi hizo muhindi ambae ameamua kubaki tanzania kwa kuongoza moja ya travrl agent mashuhuri hapa nchini..si hivyo tu nembo hii ilileta kashfa pale ceo wa wakati huo alipokaa kupitia maoni na tenda za wanaoweza kuongoza shirika hilo wakaiteua kampuni moja ya tanzania
wakati wanafikiria kupataje ten percent kwenye kampuni hiyo mh ceo akishirikiana na management na wakati huo alikuwepo director mhuni mmoja kutoka kenya aliechukuliwa bila kujua hana idea yoyote ya ndege akaiwajulisha kuna jamaa anaweza kuwatengenezea kwa bei ya chini na kukubaliana baada ya nembo mh huyo anaweza kuwapa pesa wanayoitaj kama ahsante kama kawaida hali hiyoilimfanya kijana yule kwenda kenya kama mwendawazimi na ndipo akaleta nembo ya kihuni..kivipi nenda kaangalie ile nembo alichofanya ni kuweka a badala ya k ya kenya airways lakini nembo hiini sawa na ya kenya airways natumaini million 300 jamani aiwezi kuelezea imetumikaje kutengeneza nembo ya kampuni...mungu awaape heri wafanyakazi na roho ya huruma ya kuvumilia
mr chizi
kwa kweli huyu siwezi sema lolote maana kila mtu anajua alivyojipanga labda tuwaachie wafanyakazi wali ilikouwa airtanzania ambao walikuwa nae kuelezea umahiri wake naomba tunaitaji kupata ukweli halisi na si kuandika sababu ya wivu ama alikunyima unyumba miaka hiyo la hasha tupen data tuzifanyie kazi tafadhali
wakati huo huo habari zilizotufikia punde zinasema kampuni ya atcl inatarajiwa kuendelea na safari zake kama kawaida kuanzia tar 25 pamoja namengine kwa kuhofia kuwepo na ndege moja imetangazaa kuanza safari za kigoma na tabora kwanza huku ikisubiri matengenezo ya ndege nyingine ambayo itatarajia kuanza safari za mwanza na kweingineko
mungu ibariki tanzania mungu ibariki atcl!!
chizi alikua manager wa atc south africa branch katika ofisi zao pale bruma lake, joburg .... Hakuna jipya .... Ticket za atc ziliuzwa mitaani na vijana kama karanga .... Nilitokea rundburg 15km from joburg kwenda ku confirm ticket nikaambiwa njoo after two days .... Chizi hakuweza kunipa maelezo
le grande mopao,papa codraman,papa fololo,Le grande du congo,papa mokonzi,mopao mokonzi,Sarkozy n.k;MAJINA HUWA YANASADIFU-LETS WAIT &SEE
<br />watu husema majina ya watu husadifu walivyo-ngoja tuone huyu mr chizi atakuwaje katika utendaji wake
<br />le grande mopao,papa codraman,papa fololo,Le grande du congo,papa mokonzi,mopao mokonzi,Sarkozy n.k;MAJINA HUWA YANASADIFU-LETS WAIT &SEE
Shirika la Uma, limeliwa na wahuni wa Serikali ya CCM.CCm hapa imetoka wapi?
Hivi jina lake kamili ni nani? Au anaitwa "Mr. Chizi" tu?
Huyo Mr Chizi aliyekuwa Atcl enzi zile aliondoka na kwenda kuwa mkurugenzi wa community air ile ndege ya dialo. lakini chini ya uongzi wake ameanzisha kampuni ile na kisha ikafa ndani ya muda mfupi sana kutokana na kukosa vision na kampuni ikawa haina mwelekeo endelevu na sasa imebaki inapumulia machine. sasa kumpatia mtu huyo tena shirika lililokufa la ndege tanzannia ili anede kulifufua ni sawa na kumchukua bubu ili amuelekeze njia kipofu! subirini muone shughuli yake kama naye hajaondoka akijisifu kwa kuiacha atcl kaburini kama yle bwana mataka aliyejisifia kubadilisha nembo ya shirika.
Huyo Mr Chizi aliyekuwa Atcl enzi zile aliondoka na kwenda kuwa mkurugenzi wa community air ile ndege ya dialo. lakini chini ya uongzi wake ameanzisha kampuni ile na kisha ikafa ndani ya muda mfupi sana kutokana na kukosa vision na kampuni ikawa haina mwelekeo endelevu na sasa imebaki inapumulia machine. sasa kumpatia mtu huyo tena shirika lililokufa la ndege tanzannia ili anede kulifufua ni sawa na kumchukua bubu ili amuelekeze njia kipofu! subirini muone shughuli yake kama naye hajaondoka akijisifu kwa kuiacha atcl kaburini kama yle bwana mataka aliyejisifia kubadilisha nembo ya shirika.
<br />Kama wanataka ATC ifufuke basi wamchukue expatriate manager aliyeshafanya kazi katika mashirika yaliyofanikiwa eg Emirates; KLM; BA etc. Kenya Airways did that when it was privatised with KLM Managers. Hizi experiments za kuweka former officials of the failed ATC will not take us far! The Government will sink its money in such ventures and I am almost 100% sure that, come five years from now, ATC will be even more broken than it is now. I can bet $10,000/= that this will occur with this "Chizi" guy!!