Hili Jukwaa lenu mnaliweza wenyewe!
Habari iliyonifikia hivi punde,ni kwamba;
Kuna boti iliyokuwa inatoka Pemba asubuhi ya leo kuelekea Zanzibar, iliyopakia abiria wasiopungua 250 na mizigo ipatayo tani 10, wamefika salama na mizigo yao bandarini.
¤AHSANTE¤
Vipi mbona umeshangaa,ulizani imezama?Sio kila zikizama ndio tuambiane,hata zikifika salama tujulishane jamani!
we endelea kupiga Kelele
Sent from my Nokia using Wajenzi huru
utoto tu unakusumbua ukikuwa utaachaHabari iliyonifikia hivi punde,ni kwamba;
Kuna boti iliyokuwa inatoka Pemba asubuhi ya leo kuelekea Zanzibar, iliyopakia abiria wasiopungua 250 na mizigo ipatayo tani 10, wamefika salama na mizigo yao bandarini.
¤AHSANTE¤
Vipi mbona umeshangaa,ulizani imezama?Sio kila zikizama ndio tuambiane,hata zikifika salama tujulishane jamani!
Eti pemba kwenda zanzibar,we Mulugo kweli!
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Near by Korogwe Tanga Tanzania.