MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Habari zilizotufikia hapa kwa sasa hivi imethibitishwa kuwa Waziri Mkuu amejiuzulu kutokana na skendo na kashfa zinazomsakama. Akiongea na waandishi wa habari kutoka USA, rais amethibitisha kuwa amepokea barua pepe iliyofatiwa simu kutoka Tanzania ikisema anaachia nafasi hiyo kwa maslai ya Kundi la Wasafi linaloongozwa na rais wao Dimond, msanii maarufu Afrika ambaye sasa hivi yupo USA akifanya show na P Square katika mji wa Washington District of Columbia. Waziri Mkuu huyo wa Kundi la Wasafi ajulikanae kwa jina maalufu Boss Mtoto aliingia katika kashfa baada yakusemekana anatembea na mchumba wa rais wa kundi lao.
nawasilishaaaaaaaa
nawasilishaaaaaaaa