Breaking news: wanafunzi UDOM kurudia mwaka!

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Mh. Kawambwa amesema wanafunzi wote wa UDOM walioshindwa kurudi na kufanya mitihani ya semister ya 2 wametamkiwa watarudia mwaka.......mjini shule!
Source: DK 45 ITV
 
In a normal environment, nilitegemea kabla Kawambwa hajatangaza hii scandal mkuu wa chuo awe nje ya ofisi (ajiuzulu). Nchi yoyote isiyowekeza kwenye elimu ya watu wake inajichimbia kaburi. Na Kawambwa anatakiwa atambue hili. Kurudia mwaka moja lakini kuendelea kuwa na viongozi 'hatari' kwa mustakbali wa taifa hili is totally unacceptable.
 
mkuu ni kweli kabisa mtoto kumrudisha mwaka mmoja nyuma bila sababu ya maana ni unamhukumu bila hatia, kiongozi wa nchi anatengeneza nini kwa maisha ya baadae!
 
Kawambwa hamna kitu. JK Anambeba tu..hana uwezo wa kuongoza wizara ya elimu.
 
Nouma kama mtu alikosa nauli yakurudi atapata ada yakurudia? embu serikali ya magamba tumia akili katika maamuzi
 
Na mtoto wa Pinda aliye disco inakuaje yeye mbona yupo chuon au kwa vile ni mtoto wa pm?
Mh. Kawambwa amesema wanafunzi wote wa UDOM walioshindwa kurudi na kufanya mitihani ya semister ya 2 wametamkiwa watarudia mwaka.......mjini shule!
Source: DK 45 ITV
 
Hongera waziri. Dawa ya migomo imepatikana. Wagome wengime waone.
 
Hongera kuwa mbwa wa kawambwa kwa wote kuwa na akili nyepesi kama maji. Mtafika endeleeni nipo getini nitakufungulieni na kufunga pia.
 
politico nation

kasahau hasara kubwa kwa taifa lililokwishapiga magoti
 
kila kitu Tanzania kinaongozwa na siasa..na kila kiongozi na maamuzi yake..
 
Hivi imeelezwa kwa nini hawakufanya mitihani? Na UDOM sheria zao zinasemaje katika hali hiyo?
Tusingependa Chuo chetu cha 'KATA' kiendeshwe kisiasa.
 
UDOMA is one of the best unversity in subsaharan africa... but with the coming politics... itakua kitu ya ajabu

unless sababu iwe ni kwamba kuna tatizo la fweza
 
Is it the best ama the biggest?
Kwa nini waziri ndo atoe tamko, chuo hakina senate?
UDOMA is one of the best unversity in subsaharan africa... but with the coming politics... itakua kitu ya ajabu

unless sababu iwe ni kwamba kuna tatizo la fweza
 
UDOMA is one of the best unversity in subsaharan africa... but with the coming politics... itakua kitu ya ajabu

unless sababu iwe ni kwamba kuna tatizo la fweza

red and bolded: Mkuu kichwani sawasawa kweli? Ni vigezo gani umetumia mpaka kufikia kukiita kuwa ni one of the best!
 
Back
Top Bottom