Safi ila hawajamla Pound kadhaa!!! Ten matches hazitoshi. Zimtoke na hela ya maumivu.
SawaSawa Ban hiyo ila Chama Cha Michezo Cha Uengereza FA kisiwe kinatoa mfano kwa mtu mmoja ikija kwa mtu ambaye anachezea timu yao ya taifa wanamlazia usingizi kama hawaoni watakuwa wanaendelea kufanya makosa ila Luis Suarez kwa 10 Game Ban ni sawa japo pia FA wanamtumilia jamaa kwa hizo Ban zao wakija watu wao utaona wanaichunia Viera alikuwa ndio akifanyiwa hivyo.
sijui ya defoe imeishia wapi..