Breaking News: Soko lateketea Tandahimba

Breaking News: Soko lateketea Tandahimba

dosama

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
912
Reaction score
959
Source clauds

Watu wakimbia mji. Yadaiwa ni hujuma za watu flani flani na nimadai ya wakulima wa korosho
 
Si serikali ipeleke yale magari ya washawasha yakazime moto! Au yanawasha tu hayawezi kuzima moto?!
 
Duuuuuh si ndiyo huko majuzi mabomu yalikuwa yanarindima!!!!
 
Poleni sana watanzania wezangu mliopoteza mali zenu. Je,hakuna aliyepoteza maisha au kujeruhiwa?
 
Hivi jamani kuchoma moto shule, hospitali, soko au kuharibu visima, barabara kwa maksudi tunamkomoa? Ahaha tusidanganyane, hao wahusika wasakwe na waadhibiwe vilivyo
 
Si serikali ipeleke yale magari ya washawasha yakazime moto! Au yanawasha tu hayawezi kuzima moto?!
Wamakonde wanakumbushia gorilla war za FLERIMO na Renamo, wamechoka kuchakachuliwa.
Mgombea wao wa ubunge alichakachuliwa, korosho zao zimechakachuliwa, baa!
Mbaya zaidi DC wao ni kilaza wa kutupa, kutoka Katibu wa CCM Tawi la Sekei hadi uDC! Atawasaidia nini? Mbunge, hakuwa chaguo lao, atawasaidia nini?
Mungu atusaidie tu nchi yetu.
 
Mwalimu j.k nyerere alipata kusema AMANI NI ZAO LA MATUMAINI NA MATUMAIN YAKITOWEKA AMAN HAKUNA...ao watu wanafanya vurugu coz wameshapoteza matumain,..na mwl j.k nyerere aliongeza tena kwa kusema "WAKATI WENGI WA WANANCHI WANAPOPOTEZA MATUMAIN UNAJENGA VOLCANO NA VOLCANO HIYO LAZIMA ITALIPUKA SIKU MOJA LABDA KAMA WATU AO NI WAJINGA."
 
Back
Top Bottom