Breaking news: simba sc kuzindua redio yao binafsi!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Baada ya kuzindua kituo cha tv (simba tv) kinachurushwa na clouds tv, sasa club ya simba inazidi kuchanja mbuga na kuzipiga bao club nyingine za africa na sasa ipombioni kuzindua redio yao binafsi itakayoitwa Simba sc fm, na redio hiyo itakua inarushwa kupitia radio clouds.
 
Aisee saa 9 usiku unaandika pumba hivi. Mimi naamini usiku akili huwa imetulia na hivyo tunategemea kuja na maneno ya maana. Anyway yawezekana ulikuwa baa unakunywa za offer au mmekwazana na shemeji au shemeji amesafiri. Pole sana
 
Radio yao au kipindi chao?wangeanzj kushughulikia kuwa na uwanja wao wenye hadhi ya mech zao za ligi kuu na mech za kimataifa nadhan ingekuwa vyema zaidi.Anyway hongereni
 
Hao wajinga wajenge uwanja na maduka ya kuuuza vifaa vya michezo na nguo za timu pia wawe na wanachama wengi wa kuchangia klabu waache kutegemea mauchawi
 
Mara uwanja wa kisasa,mara tv yao kumbe ni kipind kwenye tv ya wa2,wamerudi na radio ngoja 2one
 
kwa hiyo sasa wameamua kuanzisha na kipindi cha redio kweli wanachanja mbuga kwenye umiliki wa vipindi kwenye media..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom