Breaking news: rais apigana na mkewe

Breaking news: rais apigana na mkewe

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Rais wa wasafi mtaa wa Chiwondo kijiji cha Kisima cha ndege Meja Mussa amepigana na mkewe kisa alikataa kwenda kuteka maji kisimani.

Tukio hilo limetokea jana mchana na kusababisha taharuki kwa wananchi waliokuwepo maeneo yale na kuamua kwenda kugombelezea.
 
Back
Top Bottom